Search results

  1. M

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Ndio shida ya mazoea.
  2. M

    Mbowe, Gwajima jifunzeni kutoka kwa Ridhiwani Kikwete

    Kwa nini usimshauri makonda ajifunze kukaa kimya kwanza?
  3. M

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa demokrasia africa tusiuwe hili jamani
  4. M

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    The shame of democracy. Rais wangu Tz hatupendi wababe tumia haki. Na haki huchelewa ila hufika.
  5. M

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Kama wamekiuka maadili inabidi wawajibishwe tusiwe na double standards. (Ubashite) Tanzania ya leo kila kitu kinakiuka utaratibu sijui tunaelekea wapi.
  6. M

    Barua ya wazi kwa RC Makonda: Nenda Ikulu, majina ya Wauza Madawa yapo mezani kwa Rais Magufuli

    Hapo kwenye elimu nakuunga mkono wazazi wanawalea watoto kama wakubwa wenzao yani balaa tupu sijui kwa nini. Waalimu watalaumiwa bure. Madogo wanataarifa zote za burudani na movie kichwani ila sio masomo. Ufaulu unaanza nyumbani kwa kumlea mtoto awe msikivu.
  7. M

    Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Kikwete alisema ukiambiwa jambo ongeza na akili zako. Sasa nina line ya biashara miaka takriban kumi ya voda niitupe kisa mtu kashindwa ustaarabu?
  8. M

    Kuwait bans 5 Muslim countries to enter Gulf state..

    Hawabaguani hakuana anayependa ugaidi
  9. M

    Arusha: Mzungu asajiliwa laini ya simu kwa dollar 1000

    Ndio wabongo tulivyo ila dola 1000 ni too much
  10. M

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Yani wanawake kama wewe ndio mnakoseshaga wenzenu ndoa walahi. Unamuheshimu si ungeuza hata mkaa badala ya kujisifu unauza utu wako?
  11. M

    Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Pale nilikuwa nikipita naogopa sana maana wale mateja wanatisha vibaya sana. Tumuombee Mhe. Makonda akifanikiwa itakuwa habari njema kwa jamii
  12. M

    Ndege aina ya Dreamliner ina thamani ya bilioni 500, pesa hii ingetatua nusu ya matatizo ya maji

    Binadamu Lipi Jema? Ingekuwa hizo ndege mh rais anazinunua zikae tu ngeona umeongea la maana ila zitatumika kuongeza uchumi wa taifa. Mfano watalii wakiongezeka ina maana ajira zitaongezeka na mapato ya fedha za kigeni yataongezeka. Nchi inayotakiwa kuwa ya kwanza kwa utalii afrika ila bado...
  13. M

    Forbes laandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Tanzania

    na wewe ipo siku utatuelewa hajengi mtu kiwanda gharama za nishati tanzania ni kikwazo. Kunawakati kikwete alienda korea kusini akawaambia waje kuwekeza kikwazo kilikuwa nini? Tatizo watanzania huwa tunatoa maamuzi bila kujua kwingine duniani nini kinaendelea. Tunasafirisha vitu vichache nje...
  14. M

    Forbes laandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Tanzania

    Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant
  15. M

    Wadada nijibuni hapa

    Offer? Sio kwa uvhumi huu. #mwanaumekanzu
  16. M

    Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

    Upo sahihi kabisa kiongozi.
Back
Top Bottom