Search results

  1. W

    Wanaume wengi hawasafishi mikono baada ya kujisaidia

    Amani iwe kwenu wana JF, Leo nimeona nizungumzie katafiti uchwara kadogo nilikokafanya juu ya usafi binafsi hasa wa wanaume. Wanaume wengi wakitoka kujisadia haja ndogo huwa hawanawi mikono. Kwa maneno mengine ukipeana mkono na mwanaume kuna uwezekano umeligusa dude lake kidigitali. Hali hii...
  2. W

    Wanaume kushobokea wanawake wenye magari ni ushamba

    Wana JF, Ninakerwa na tabia ya wanaume wenzangu ambao wamekuwa na tabia ya kuwashobokea wanawake wenye magari. Hivi wewe mwanaume hujiulizi huyo mwanamke kapataje hilo ndinga? Utakuta mwanamke kapaki ndinga lake yuko alone anajipatia ki wine chake midume inaanza mashobo. Ukiombwa hela ya...
  3. W

    Nyuzi /Mada zilizobamba mwaka 2017

    habari wana jukwaa Wakati tukiuanza mwaka mpya si vibaya tukijikumbusha nyuzi na mada zilizokuwa hot mwaka uliopita. kwa maoni yangu nilitegemea Mods atuletee mchanganuo bora zaidi. Kwa upande wangu nyuzi au mada hot zilikuwa kama ifuatavyo 1. Forex 2. Vibamia 3. Inteview za Daby 4. Mauaji ya...
  4. W

    Namtafuta Witnessj

    [emoji15]
  5. W

    Biashara ya chupi hapa Dar itanitoa?

    Nimetoka Kwenye darasa la ujasiriamali. Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box. Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha. Hivi jumla ya uzito wote wa chupi zinazovaliwa hapa Dar mchana ni kiasi gani? Na usiku je? Hamna...
  6. W

    Unywaji pombe salama

    Wale wenzangu tuanaoenda maeneo ya kujirusha hebu tujikumbushe basics za unywaji salama. Mimi nazijua zifuatazo (ingawa mara zingi zizifuati) 1. Epuka kukaa baa ambazo ni hatarishi ; hakikisha unakaa baa ambayo ni rahisi kwako kurudi nyumbani 2. Nidhamu ya kiwango cha kilevi ni...
  7. W

    Neno 'amazing' limeanza kutumika kwa kasi, ni kwanini?

    Wana JF Kuna katabia nakaona sana siku hizi hasa kwa akina dada na baadhi ya vijana kupenda kuchanganya kiswahili na kiingereza katika mazungumzo ya kawaida tu. Neno kubwa linalotumika ni “Amazing” Sentesi mbili tu ya tatu utasikia “amazing” flani hivi.. Kwa tunaojua lugha kidogo inaboa...
  8. W

    Namba zipi za simu umezikariri?

    Wana Jf juzi nilisahau cm yangu yenye namba ya cm ya mama yangu na nilipotaka kuwasiliana na mama yangu kwa mshangao mkubwa sikuikumbuka kabisa. Namba nilizokumbuka kichwani ni moja ya mchepuko ya pili ni ex g wangu na ya tatu ni ya kazini. Kwa dhati ya moyo wako namba za akina nani umezikariri?
  9. W

    Pima mafanikio ya mahusiano ya kimapenzi

    Ni kawaida katika maisha kupima mafanikio ya mambo unayoyafanya ukiwa hai duniani. Mara nyingi watu wengi hujipima kwa mambo ambayo ni ya kawaida kama vile wamejenga nyumba ngapi, wamezalisha faida ya shilingi ngapi, wamepata magari/usafiri mangapi, wamevuna kiasi gani. hebu leo tujiulize...
  10. W

    Naumia sana mchepuko ukifika juu kabisa ya mlima

    Wakuu naomba msaada wenu. Mara nyingi roho inaniuma sana ninapoona mchepuko unafika juu ya mlima Kilimanjaro tena kwa mbwembwe na madaha sana. Kuna wengine hufika huko zaidi ya mara moja. Kinachokera zaidi wengi wao wakishafika huko hawataki tena shughuli ya kupanda mlima. Na wakipanda hupanda...
  11. W

    Binge bila G Lema

    Unafikiri tunge miss nini bungeni kama mbunge wa Arusha mjini angeshindwa ubunge?
  12. W

    Ni haki kujiua au kuua kwa ajili ya mchepuko?

    Hodi jamvini Naomba ushauri wenu juu ya yatokanayo na mapenzi katika jamii yetu. Juzi nilikuwa na wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa karibu kuniletea nakala ya usia wa ?mali zake?. Yeye ni rafiki yangu wa karibu tumesoma wote sekondari na hata jeshini tulikuwa intake moja ?operesheni...
Back
Top Bottom