Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    'Opinions are like assholes,everyone has one'. Kuna mambo mengine ni aibu kujinasibisha nayo,kama kweli wewe ni ccm utakuwa ni ccm ile ya kuliibia taifa bila kujali next generation. CCM ya aina hiyo ya akina Jk,Nape,Rostam,Chenge,Lowasa etc imeshapita and never should you expect kupata tena ccm...
  2. M

    Maajabu ya MV Nyerere; michango ndio iliyolipa wafiwa na wahanga, na watoa huduma kujilipa laki 4 kila mtu. Serikali haijatoa chochote mfuko wa maafa

    Chadema mmeumbuka! Pamoja na kuhamasisha watu wasichangie ila ndo wamewapuuza,shame on you !
  3. M

    Maajabu ya MV Nyerere; michango ndio iliyolipa wafiwa na wahanga, na watoa huduma kujilipa laki 4 kila mtu. Serikali haijatoa chochote mfuko wa maafa

    Chadema mmeumbuka! Pamoja na kuhamasisha watu wasichangie ila ndo wamewapuuza,shame on you !
  4. M

    MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Hii ni siasa na lazima ujue nature ya siasa za afrika zilivyo. Chadema wanabeza sana na kukejeli watu wao 'kununuliwa' BT laiti ingekuwa wanatoka ccm na kwenda chadema story ingekuwa tofauti kabisa! Chadema imemshawishi Maalim Seif kujiunga nao kwa ahadi ya kumpa agombee urais Zenji,hii ina...
  5. M

    TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!.

    In politics,malaika anaweza kugeuzwa shetani na shetani anaweza kupambwa akafanana na malaika! Ila ukweli halisi ni kuwa hii issue inashadadiwa zaiidi na maadui wa makonda kuliko uhalisia wa issue yenyewe. Makonda aliomba tax exemption, issue ilikuwa ni kumkatalia tu basi, lkn imefanywa kisiasa...
  6. M

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Nadhani kuna kitu hujaelewa vzr mkuu,'system' is almost everything! Ststem ndiyo inayo-harmonise masuala ya nchi na ni mhimu ujue pia kuwa nchi ina makundi mengi ya kijamii kama wakulima,wafanyakazi,wafanyabiashara,wasomi,majeshi etc etc so wanasiasa ni portion ya jamii. Mojawapo ya kazi za...
  7. M

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Issue siyo tume huru mkuu,unataka kusema Kenya nao hawana tume huru? Ukisoma vzr utaelewa nn maana ya system na nguvu yake. Waulize wamarekani nguvu ya KGB kwenye uchaguzi uliopita
  8. M

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Kuna mambo huwa nakubaliana na TL BT kuna mambo pia huwa sikubalian nae, 1.Anajifanya ana akili saaaana kuliko MTU yeyote probably hapa duniani(anaiita report ya makinikia kuwa 'professorial rubbish'). Kama mwana taaluma hii si saws. 2. Anakosoa tu bila kuonesha solution,kwa nn asiseme kama...
  9. M

    Fatma Karume Yamkuta Twitter, Ni Baada Ya Kusema Hajasomeshwa Na Serikali Ya CCM

    Kwa mara ya kwanza Tanzania ilizalisha wakimbizi huko Zenj kwa uongozi wa babake Shangazi,amewahi kuhoji wale watu waliouawa wakati wa utawala wa babaye??
  10. M

    Fatma Karume Yamkuta Twitter, Ni Baada Ya Kusema Hajasomeshwa Na Serikali Ya CCM

    Pale mtenda anapotendwa,Fatma hawezi kuepuka kadhia ya kuwa mwanafamilia inayohusishwa na siasa za ukandamizaji huko visiwani. Mtoto wa nyoka ni nyoka siyo kamongo!
  11. M

    Nitawasilisha hoja tatu kwa chama changu CHADEMA

    hii nchi tuna tatizo kubwa sana,Yeriko umeleta hoja nzuri lakini zimeishia mipasho! Umesema ya OIC,KADHI,million 50 kila kijiji etc,nakubari kuwa siasa za Tanzania siyo za CCM au CDM wote hawaeleweki! Kuna watu walimtukana saaaana Jakaya kuwa kafeli karibu kila sekta ila Leo kwao ndo shujaa...
  12. M

    Mhadhiri UDSM: Rais Magufuli, Tanzania sio kampuni yako binafsi

    Kuna tofauti kubwa kati ya kufundisha CRITICAL THINKING na POLITICAL THINKING. Tatizo lililopo ni kuwa lectures siku hizi zimegeuzwa kuwa sehemu za wahadhiri kuhubiri siasa yaani hata mhadhiri wa Engineering Mathematics 1 anafundisha 'political thinking'.
  13. M

    Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri: Waziri Mwigulu atemwa, Lugola aula. Mbarawa ahamishwa

    Mods huu upuuzi mwingine hivi mnauruhusu ku-trend humu kwenye jukwaa la watu wazima? Huu udaku ni wa instagram siyo humu ambapo kuna wahariri wa threads. Pls Mods ipeni thamani JF yetu
  14. M

    Rais Magufuli amteua Phaustine Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Alli Malewa astaafu

    Watu watu ambao hamjawahi kwenda hata mgambo mna shida kweli! Jeshini mkuu wako hawezi kufika kabla yako and there is absolutely NO EXCUSE unless otherwise umecheleweshwa na mkuu wa mkubwa wako. Seniority and ranks ndo huamua chain of command, siyo huku uraiani baba ndevu,mama ndevu na mtoto...
  15. M

    Porojo za siasa za waraka, washindani wetu Afrika Mashariki wanazungumza na Dunia

    Tangu hao wafanyabiashara wamekuja kuna lolote ambalo tumewapita Kenya unaosema walikuwa wakituonea gere?? Hujui kuwa mwekezaji mkubwa kabisa wa hapa Tz ni Mkenya na siyo hao wezi wa dhahabu na kutusainisha mikataba ya kilaghai huku wakituacha hohehahe? Kwa taarifa yako tu; HAKUNA URAFIKI WA...
  16. M

    Porojo za siasa za waraka, washindani wetu Afrika Mashariki wanazungumza na Dunia

    Tangu lini uhusiano wa kibiashara ukawa mzuri? Hapa ndani kwetu wafanyabiashara hatupendani sisi kwa sisi tunapigana pini,tunalogana,tunapigana risasi na kufanyiana hila za kila aina. Unakumbuka ugomvi wa Manji vs Mengi?? Clouds vs Diamond?? Unafuatilia jinsi wafanya biashara wa Tanzanite...
  17. M

    Sugu: Zile hostel za Magufuli tunadanganywa zimejengwa kwa bil 10 wakati ni zaidi ya bil 54, mimi niko kwenye kamati

    Hizi ngonjela zimekuwepo tangu enzi za JK na bado ccm wanashinda kama kawa...tatizo ni kwamba hata hao wakosoaji nao ni wachafu sana so ni bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu!
  18. M

    Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Kiwango cha propaganda za kuwa JPM anachukiwa na almost kila MTU hakijafikia kiwango cha propaganda zilizopandikizwa dhidi ya JK na hasa term ya pili kuwa JK alikuwa Dhaifu,nchi imemshinda,ufisadi,nchi imefilisika,maisha magumu(alisema maisha bora kwa kila mtanzania!) Nina uhakika inawezekana...
  19. M

    Mawaziri wa Serikali, kwanini utekelezaji wa bajeti kuu uko chini ya asilimia 50?

    Kwa data za kamati IPI ya bunge au idara IPI iliyotoa tathmini?? Tatizo letu tuna midomo mikuuuuubwa na maskio madogo halafu ubongo kama piriton!
  20. M

    Poleni CCM, kwa hili la Mbowe kuachia Uenyeketi wa Chama mumekwama

    Kama hoja ya CHADEMA ni kwamba eti ccm ndo hawamtaki Mbowe nadhani chama kinakosea sana...yaani chama hakitakuwa na 'moral authority' ya kuhubiri democrasia kwa wananchi wanaojielewa. Huu ni unafiki zaidi ya mafarisayo! Chama kitapoteza credibility ya kuikosoa ccm kwa sababu huwezi kusukuma gari...
Back
Top Bottom