Search results

  1. A

    ACT-Wazalendo Dar kufanya maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Magufuli

    Kwakuifurahisha ccm hata chizi akihitaji kuandamana anapewa kibali
  2. A

    ACT-Wazalendo Dar kufanya maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Magufuli

    Act wazalendo kinacho ongozwa na MH.Zitto kabwe ni chama kisicho kuwa na Msimo hasa kwa kiongozi wake Mkuu Zitto Kabwe ambae maranyingi amekua akikaririwa na Kuonekana Nimtu wakubadilika badilika Hasa kwa Issue kama ya Urais Zanzibar Nirahisi sana kwa Act kufanya Maandamano ya kumpongeza...
  3. A

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Hunasera endelea kupiga porojo wenzio tunajenga chama
  4. A

    Aibu kubwa nyingine kwa chama tawala - CCM

    ccm niile ile hakuna jipya hapa kama Nape naye wazir
  5. A

    Home Shopping Centre yakanusha kuhusika na ukwepaji kodi, upotevu wa makontena bandarini

    Nikiona jina home shopping center nasikia harufu ya kinyesi
  6. A

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Naunga mkono hoja ni kweli ccm imeishiwa viongozi na ndio maana leo hata nape eti nae ni waziri
  7. A

    Wote wanaoponda Uteuzi wa Muhongo, Mwakyembe na Nape, wapo nyuma ya Lowassa na Mengi

    Kwakweli hata mimi sija hafiki uteuzi wahawa washkaji alafu nackia wanaitwa askari wa myavuli
  8. A

    Wote wanaoponda Uteuzi wa Muhongo, Mwakyembe na Nape, wapo nyuma ya Lowassa na Mengi

    Nape hafai kuwa kiongoz anafaa kuwa mwimbaji
  9. A

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Hii tumbua tumbua majipu ya magufuli naona imeanza kuwachanga viongozi wa kuu wa ccm akiwemo katibu mkuu wa ccm ndg. Abdulrahaman kinana. Nakijifanya kuwa anampongeza magufuli kwa utendajikazi wake ilikujaribu kukwepa rungu la magufuli lisi mfikie maana ndg: Kinana ana lijipu ambalo linahitaji...
  10. A

    Sitta na Mwakyembe jiteteeni kuhusu mambo mliyowaficha Watanzania bandarini

    hakuna muda wakujitetea zaidi ya kuwajibishwa
Back
Top Bottom