Search results

  1. agprogrammer

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Laptop aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote lile. Specs HDD: 1TB PROC: Corei3 RAM:4GB Bei: 800,000/= Maongezi yapo. Ipo Dar Msasani. Kwa anaehitaji anicheki whatsaap kwa namba 0628955929.
  2. agprogrammer

    Hili la Mloganzila limulikwe.

    Habari za muda huu wakuu, naomba kuwasilisha hapa jukwaani kwani na imani wahusika wapo hapa. Nimekuwa nikuhudhuria Mloganzila ni mwezi sasa kwani yupo jamaa yangu alipata ajali maeneo ya Temeke hivyo baada ya kupelekwa Temeke hospital ikabidi apewe transfer kuja Mloganzila. Sasa baada ya...
  3. agprogrammer

    Aliyewahi kufanya kazi na Japanese au Taasisi yao yoyote.

    Habari za Jioni familia ya JF natumai nyote ni wazima wa afya, poleni na majukumu mbalimbali ya kufanya maisha yasonge. Nisiwachoshe kama kichwa cha kinavyojieleza naomba kujua A,B,C za wa japan katika kufanya nao kazi je wapo sawa na wa china au wa vietnam, nitangulize shukrani zangu za dhati...
  4. agprogrammer

    Simple Sofa used

    sofa inauzwa used bei ni 250000 ipo katika hali nzuri mweny kuhitaji anicheki kwa 0620512112 lipo dar Maeneo wazo
  5. agprogrammer

    Kwa walioyo wahi kufanya usaili halotel tupeane hints.

    Habari za muda huu wakuu, naomba kujua kwa wale walioyowahi kufanya usaili halotel na kupata au hata kukosa jamaa wanatoaji interview zao?
  6. agprogrammer

    Standby Generator cummins linauzwa

    Lipo kwenye hali nzuri, linatumia diesel na ni Kva 38. Lipo maeneo ya ununio bei ni 14m maongezi pia yapo kwa yeyote anaehitaji anicheki pm. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. agprogrammer

    Naomba msaada: Wafugaji wananisumbua kwenye shamba langu

    Wakuu natumai nyote muwazima naombeni msaada mimi ni mkulima ninaemiliki shamba mkoani Tanga wilaya ya kilindi kijiji cha masagusa, nimekuwa nikisumbuliwa mara kwa mara na wafugaji jamii ya wamaasai na malalmiko yangu nilijaribu kuyapeleka kwenye ofisi ya kijiji lakini hadi sasa ninapoandika uzi...
  8. agprogrammer

    MSAADA WA NYIMBO YA SUMU YA TEJA By Vitalis Maembe.

    Habari za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza wadau naomba mwenye nyimbo ya Vitalis Maembe sumu ya teja.
  9. agprogrammer

    Uvimbe kwenye ziwa la mama anaenyonyesha, nini sababu?

    Habari za jioni wataalamu, kama kichwa cha mada kielezavyo mke wangu kajifungua ana miezi mitatu sasa ziwa lake moja upande wa kulia linamuuma mno, kabla ya kujifungua palikuwa na ka uvimbe tuliende hospitali tukaambiwa akijifungua na kuanza nyonyesha kitaondoka ila tangu kujifungua bado kipo na...
  10. agprogrammer

    Kitovu cha mtoto kuwa na hewa, nini matibabu yake?

    Habari za muda huu wana ndugu, kama kichwa kinavyojieleza nina mtoto wa mwezi moja na wiki kama tatu sasa kitovu chake kimejaa hewa yaani ukikibonyeza unasikia sauti kabisa kwamba ndani kuna hewa ni kama kitu ambacho ukitoboa kwa sindano hewa inatoka, naonba msaada wa jinsi ya kumsaidia kuna mtu...
  11. agprogrammer

    Series na movie kali zinazohusu drug lords

    Aje aje hapq kwa wale wapenzi wa series kali za ma drug lords na kali zaidi ya hizo lets share. 1. Narcos Pablo Escobar 2. El shapo 3.Queen of the south 4. Power 5. Scarface 6. City of Lords 7. Blow 8. The counselor 9. Traffic 10. America gangster Tupieni nyingine
  12. agprogrammer

    Nahitaji kifas cha muziki aina ya PAN FLUTE.

    wasalaamu ndugu zangu, kwa yeyote anekifahamu kifaa cha muziki aina ya pan flute kwa hapa Tanzania nitwapata wapi. Naombeni msaada wenu.
  13. agprogrammer

    Msaada anaewajua empower

    Habari zenu wandugu, anewajua hawa jamaa wanaitwa empower anijuze kidogo. Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. agprogrammer

    Saida Karoli yuko wapi?

    Jamani habari ya kwenu natumai ni wazima, dah nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu dada Saida Karoli nikashikwa na hamu ya kujua alipo na je ameacha mziki? naona kama bado taifa tunahitaji wasanii kama yeye. MUNGU ambariki popote alipo. Tujikumbushe na moja ya tungo zake.
  15. agprogrammer

    Nini tofauti ya Posa na Mahari na ni kipi hupewa uzito?

    Habari za muda huu wandugu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa kuna tofauti gani kati ya posa na mahari na kipi huwa kinaanza na kipi huwa ni kinapewa uzito. Nawasilisha
  16. agprogrammer

    Kifungua uchumba kwa Wachaga wa Marangu

    Ndugu mnaendeleaje poleni na majukumu. Samahani naomba kujuzwa hivi kifungua uchumba huanzia kiwango gani hususani kwa wachaga wa Marangu.
  17. agprogrammer

    Msaada wa Error hii kwenye Cisco router

    Hello wa ndg natuamai nyote wazima. Naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kukutana na tatizo hili kwanye cisco router 2911 anipe msaada. An uncorrectable parity error has occured in the tdm switch component at location 0x13b88
  18. agprogrammer

    Naomba kujua leseni zitolewazo na tcra huchukua muda kiasi gani kuipata

    Habari ya muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza naomba kujuzwa hivi biashara za online gambling leseni yake huchukua muda kiasi gani, maana upande wa bodi ya gambling wameshatoa leseni muda mrefu tatizo lipo tcra, sasa nilikuwa nahitaji kujua kama kuna mtu anayejua muda wa hizi licesence za...
  19. agprogrammer

    Ni chuo gani kinachotoa kozi ya Graphics and design?

    Habari za humu wadau naombwa kujuzwa ni chuo gani ambacho kinatoa kozi za graphics and design
  20. agprogrammer

    Naomba kuuliza hivi nchi yetu tulioyonayo ni amani au utulivu?

    Nimejikuta nikijiuliza hili swali pasi jibu kamili hivi ni kweli Tanzania ipo amani au utulivu, maana kuna baadhi ya vitu vinavyotokea vinavyoashiria kutokuwa na amani mfano wafugaji kuwavamia wakulima na kuwajeruhi pamoja na kuharibu mazao, wachimbaji wadogo kupigwa mabomu ya machozi pamoja na...
Back
Top Bottom