Search results

  1. agprogrammer

    Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Bro nipe connection na shida na mchungi
  2. agprogrammer

    Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Hii vipi ina kipengele ?
  3. agprogrammer

    Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    Bwana Elya hongera sana. Nakukubali tokea tukiwa shule hukuwa mtu wa kukubali kufeli pambania hapo hapo.
  4. agprogrammer

    Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    We Muamini MUNGU wako hakuna mganga au mchawi zaidi yake.
  5. agprogrammer

    Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    Muamini MUNGU shida ya hao jamaa wivu na uvivu nipo Wilaya ya Kilindi nalima nimeshaanzisha miradi kadhaa kwenye shamba langu figisu zao ni nyingi ila wanashangaa navyokomaa, mpaka kutoboa kikubwa usiwape nafasi wakujue kwani watatumia madhaifu yako.
  6. agprogrammer

    Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Mkuu hongera sana upo mkoa gani yaani unapofanyia huo mradi ?
  7. agprogrammer

    Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Ndy ila hyo ipo juu nina nilichochimba kwa mkono kina meter 30. Kwa hyo nilijua price ni reasonable nichimbe cha mashine.
  8. agprogrammer

    Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Mkuu hiyo price ni hata mikoani Tanga wilaya ya Kilindi?
  9. agprogrammer

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Chief nimeweka hapo HDD 1TB, PROC Corei3 na RAM 4GB
  10. agprogrammer

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Kuwa free unaweza ukachukua chombo hicho
  11. agprogrammer

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Laptop aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote lile. Specs HDD: 1TB PROC: Corei3 RAM:4GB Bei: 800,000/= Maongezi yapo. Ipo Dar Msasani. Kwa anaehitaji anicheki whatsaap kwa namba 0628955929.
  12. agprogrammer

    Nipeni ushauri juu ya huyu mke wangu...

    Fanya maisha yako mpotezee
  13. agprogrammer

    HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Vipi kuhusu wale wanaokatwa mshahara na kampuni haipeleki ?
  14. agprogrammer

    Historia ya Sikukuu ya Krisimasi

    Wacha ku complicate waache wanaoamini wafurahi msikereke.
Back
Top Bottom