Search results

  1. aimi lyatuu

    Tunatoa huduma ya kukodisha magari kwa bei

    Kwanini isiwe kwa uwazi Kama kukodi ya watu 4 kwa masaa 12 ni bei 1000 kisha mteja ajifanyie tathimi Ama vipi?
  2. aimi lyatuu

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Ni kutumia akili duniani hapa Kwani- Kwa ground mambo ni tofauti sana like simba na yanga zinavyo jadiliwa kuliko mijadala ya kimaendeleo ya nchi Fikiri toka c_19 mara 🇷🇺 vs 🇺🇦 tension kushuka tu Oct-7 Kila siku na sasa ni miezi karibu 6 media zinatangaza 🇮🇱 imewaua 🇵🇸 20-30 na hakuna kitu...
  3. aimi lyatuu

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Kama siyo system kuwakanyangia wachaga Hii nchi ninyi mngeiskia kwenye bomba
  4. aimi lyatuu

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Sababu kuu ni Imani Nyinginezo ni :-maendeleo Tamaduni Geographical.....
  5. aimi lyatuu

    Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini

    Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?! Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?! Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
  6. aimi lyatuu

    US kufukuzwa UN ili amani ya dunia ipatikane

    Acha mapepe kwa uandishi
  7. aimi lyatuu

    Kwanini watalii wa China wameacha kutalii nchi za Magharibi?

    Kwenye swala la ujasusi ni kweli China ni kirusi
  8. aimi lyatuu

    Zanzibar: Wamaasai wapambana na polisi waliotaka kuwapora rungu na sime zao

    Japo watatendwa vibaya kisa sio waislam Wameonyesha maasai ni nani
  9. aimi lyatuu

    Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

    Dogo naweweseka ni op kikwete baada ya hapo dogo hatukujua kapotelea wapi time ya mwisho namkuta twitter misamiati push-up
  10. aimi lyatuu

    Mji-mjini ya mawe ni wa daima

    🤡🤡
  11. aimi lyatuu

    Ninatafuta ufundi bajaji za tvs

    Wataalam habari Ninachangamoto ya kusumbuliwa na tatizo la kusmoke mara kwa mara kwa bajaji yangu aina ya tvs Oil kila baada ya wiki mbili block na Piston ni OG na nimefunga wiki mbili nyuma Valve hazina carbon wataalam kinachoua ring mara kwa mara ni nini??
  12. aimi lyatuu

    Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

    Kazi ngumu sio nguvu tu bali kwa asilimia kubwa ni uzoefu So hayo madude unayotaka kutumia yatakufanya uwe weak sana tumia vitu vya asili sana EWE BLUU!!
  13. aimi lyatuu

    Dunia ina Umri gani?

    Chuo madrassa hapa hufui dafu
  14. aimi lyatuu

    Kwanini Unaishi !

    Mkuu huwa mnawaza nini
  15. aimi lyatuu

    Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

    Mkibishana na wapumbavu Chuga iEshimu kama amri ya 4 Chuga na kaskazini (tanga ipo kwa bahati mbaya) imeanza harakati mbeya bado ipo rhodesia
  16. aimi lyatuu

    Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

    Pia tambua kuwa moja ya jukumu la JWTZ ni kuilinda katiba Sasa kama wanatokea wazanzibar wawili wanauza mali za watanganyika tena wanasonga mbele hadi kutangaza wana vipande vya aridhi kwa wazawa Wao wanaona baridi barafu na ukizingatia raia hawana maarifa ya uraia nani tumlaumu...
  17. aimi lyatuu

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya nguo Mwanza

    Kesha sema Laki 5 unamlengesha biashara ya 8000 Mlengeshe nyarungombe asakule mchina 2500-3500 Akatembeze kwa 7000_8000
  18. aimi lyatuu

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya nguo Mwanza

    Kazingua mdau hata kama kweli ni fala Kwa bei yake ni mmachinga wa kuuza viurembo vya kina dada na vitoi vya watoto na vile inaweza kisionekane nini anafanya
Back
Top Bottom