Search results

  1. shickland

    Boda boda : Usalama wa barabarani

    Na angalia Chanel 10 hapa naona majadiliano baina ya polisi na boda boda, hoja ni usalama wa barabarani baina ya madereva wa boda boda naabiria wao kuvaa helmet ⛑. Police wanataka boda boda wasipakie abiria akiwa hana helmet ⛑, madereva wanasema kuwa wao wanavaa abiria hataki sasa, kosa ni la...
  2. shickland

    Mahakama zisitumike kisiasa

    Waachieni viongozi wa dini (Uamsho). Miaka 3 uchunguzi haujakamilika? Hamtaki kutoa dhamana, wala jamaa zao kuwaona. Mnataka tuamini Tanganyika inaitawala Zanzibar kuua Uislamu na kuwachukulia rasilimali zao?
  3. shickland

    Zanzibar wapandisha gharama za umeme kwa 20% kutokana na shirika la umeme kushindwa kujiendesha

    Kutokana na kushindwa kuendeshwa shirika la umeme Zanzibar ipasavyo, umeme umepanda kwa asilimia 20. Habari; Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Waziri wa ardhi, maji, nishati na mazingira, Bi Salama Aboud Talib akitangaza mabadiliko ya bei hizo, amesema watumiaji wa majumbani wenye uwezo...
  4. shickland

    Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

    Hivi karibuni waziri Lukuvi amemfutia mfanya biashara mmoja Huko Mwanza mali zake kutokuwa mmiliki halali kwa mujibu wa sheria za nchi. Lakini ameshindwa kutoa uthibitisho kuwa sio raia wa Tanzania, wakati mmiliki ana hati halali za kuzaliwa Tanzania na ana familia Tanzania. Tatu ameshutumu...
Back
Top Bottom