Search results

  1. Bhikalamba

    The are no other words to describe the state of Israel, except that It is barbaric and Savage!

    Probably, if you're the source of that truth, you've a deep understanding of the so called NWO am ready to be enlightened.
  2. Bhikalamba

    The are no other words to describe the state of Israel, except that It is barbaric and Savage!

    If what you are saying is true, then what perpetrators of NWO benefit from this. As read from you, you've hinted out previously that their actions will demolish the very existence of man kind in this globe.
  3. Bhikalamba

    The are no other words to describe the state of Israel, except that It is barbaric and Savage!

    @Mathanzua is obsessed with conspiracy theories. In the midst of Covid -19, Corona vaccines, Ukraine war, Gaza conflict and now Iran/Israel conflict he's still spouting of New world order
  4. Bhikalamba

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ok nimekuelewa, sorry for misconception
  5. Bhikalamba

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Achana na hizo porojo, eti dunia tambarare. Sasa singanoJr anao uwezo gani wa kuthibitisha hilo zaidi ya astronomical evidence zilizopo?
  6. Bhikalamba

    Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

    Israel bila ya US, UK na France ni Rwanda iliyo changamka.
  7. Bhikalamba

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Siyo hivyo mkuu, hii ni kwa sababu anatumia muda mrefu kuifasiri na kuiongezea vionjo, ili ifiti kwenye muktadha wetu na nyingine ni delay technique, ili kujipatia maokoto kwa yeyote asiye na subira. Sisi wengine tulishaisoma kule alikoichota na kuileta humu JF. Ila nampongeza kwa uwezo wake wa...
  8. Bhikalamba

    Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Achana nae huyo jamaa akili zake alishaziacha kwa Mwamposa.
  9. Bhikalamba

    Netanyahu asitisha mpango wa kulipiza kisasi kwa Iran baada ya kukosa sapoti ya Marekani

    Lokole la budha limekuja kukoment baada ya kumwachia akili Mwamposa.
  10. Bhikalamba

    Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

    Shida siyo biblia, shida ni hawa wakristo uchwara wasiojua maandiko hususani walokole ambao huamini kwamba Israel ni taifa la Mungu kwahiyo kila itendalo wao ni kuitikia tu Amina na kuitakia baraka. Hawajui mpango wa Mungu wa ukombozi kwa ulimwengu na jinsi ilivyotabiriwa kwa wayahudi kumkataa...
  11. Bhikalamba

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Utasubiri sana Shunie keshamwambia hata mwezi huu ukiisha kwa pini aliloshusha, hana lawama. Kwahiyo Mimi Bhikalamba nakushauri ukae kwa kutulia au mfuate kwa password huko kwenye whatsoever
  12. Bhikalamba

    Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

    Israel, German na US zote hizo hazijatengwa kimataifa yet ugaidi hutokea, vipi nongwa kwa Urusi, twambie we mcha-'mbuzi' the great.
  13. Bhikalamba

    Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

    Kwahiyo tuamini za kwako hapo Kimara bonyokwa, kisa unaitwa the great?!!
  14. Bhikalamba

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    We Ni pro-NATO, ila kwenye hili nakupongeza, napenda wachangiaji humu wangekuwa objective, ingelikuwa vyema kabisa.
  15. Bhikalamba

    Uchawi upo! Narudia uchawi upo!

    Kwahiyo we ngosha unabisha kuwa hakuna michongo kupaa kwa ungo na ulozi hufanyika huko Gamboshi, au kwakuwa umekaa US kwa muda umejisahaulisha hii mambo ambayo ni common huko udukumani? Vitabu vyote vya dini vinatambua uwepo wa uchawi we ni nani ukatae hakuna uchawi?
  16. Bhikalamba

    Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Hukumbuki KDF walivyokimbia muziki wa M23 ambao Ni wing ya RDF???
Back
Top Bottom