Search results

  1. aabb

    Natengeneza BUSINESS CARDS

    chaguo ni lako
  2. aabb

    Natengeneza BUSINESS CARDS

    WEZESHA MAWASILIANO NA WATEJA WAKO kwa kutumia “Business Card” za kisasa, ZOTE LAMINATED, kwa bei ndogo karibu na bure. “Design” utakayohitaji. Kwa Dar es salaam FREE DELIVERY. Kila kadi 100:- Single sided kwa Tshs 20,000/= tu, bei ya zamani 30,000/=. Double sided kwa Tshs 30,000/= tu, bei...
  3. aabb

    Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    ILA NI AIBU SANA KUJIBU KITU AMBACHO HUJAKIELEWA VIZURI. MAJIBU HUONYESHA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI.
  4. aabb

    Nahitaji audio amplifier 30W hadi 50W

    Wana tech habari, nahitaji 30W hadi 50W au zaidi (amplifier circuit), nipo Dar, ni maduka gani hupatikana? Mfano wake ni hii kwenye picha.
  5. aabb

    Msamaha wa kodi ya kiinua mgongo kwa Wabunge, Mawaziri, Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya wafutwa

    Aliyekosea tu ni yule aliyehoji kwa nini viongozi wakuu hawakatwi kodi, yule ndiye aliyemaliza mjadala. Kafanya iwe rahisi kujibu hoja zao.
  6. aabb

    Let Magufuli spend a week in each Country in Africa - South Africa says!

    Acha amalize kwanza uchafu uliopo, katiba mpya ya warioba itamzuia kwa sababu itampunguzia uwezo kiutendaji.
  7. aabb

    How to change 32 bit to 64 bit

    Hiyo inaonyesha idadi ya data kwenye njia inayosafirishwa kutoka sehemu moja hadi nyingine kwenye mashine. Namba kubwa ndo data nyingi zaidi kwa wakati mmoja. Hufananishwa na barabara inayopitisha magari mawili kwenda upande mmoja, tungeiita 2 bit road.
  8. aabb

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Wasomi wengi wakubwa wanaoifahamu wikipedia hawaitumii kwa sababu haiaminiki, kila mtu anaweza edit akaongeza habari, nakushauri mtoa mada hata wewe usiiamini sana kuitumia kutoa mada.
  9. aabb

    Kazi inaanza na majeshi yapo imara

    We ndo umeua kabisa, kutoka mashuleni, pandikiza uraia.
  10. aabb

    Kipi bora mke mzuri nyumbani shida au wa kawaida nyumbani raha?

    Habari zenu, Nimetoa hiyo mada baada ya kuona mara nyingi jamaa anakuwa na mke mzuri, anasifiwa mtaani lakini akirudi nyumbani hakukaliki. Wakati huo huo jamaa mwingine anakuwa na mke wa kawaida tu lakini nyumbani ana amani sana wanafurahia maisha. Kipi bora kusifiwa mtaani au kuishi maisha...
  11. aabb

    Natafuta supplier wa samaki Sato na Sangara - Dar es salaam

    Supplier ajitokeze tu, wengi wanatafuta hawaulizi tu, atafanya kazi sana.
  12. aabb

    Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    IST ni ya wanawake kabisa. Wanaume wanakataa tu kwa sababu wamenunua tayari. Waachieni wenyewe wanahangaika usafiri, nyie mmeng'ang'ania gari zao msibishe.
  13. aabb

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wataalam, Naomba mwenye uelewa wa haya magari TOYOTA CELICA (Hasa ya kuanzia mwaka 2000) anipe uzoefu, inaonekana ni mazuri ila sijui spea zinapatikana au la, bei za spea juu au kawaida, tatizo la ujumla, na mengine mengi. Nimeuliza hivi kwa vile nimeanza kuona yanaongezeka hapa Dar si...
  14. aabb

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wadau naomba kuuliza, TRA hutoa bei elekezi kwa ajili ya kodi, lakini unaweza nunua gari kwa bei ndogo kuliko hiyo elekezi ukiagiza nje ya nchi, je TRA wanaweza tumia document ulizonunulia kukokotoa kodi? Natanguliza shukrani.
  15. aabb

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    TOYOTA CELICA (GH ZZT 230/231). Habari wataalam, Naomba mwenye uelewa wa haya magari anipe uzoefu, inaonekana ni mazuri ila sijui spea zinapatikana au la, bei za spea juu au kawaida, tatizo la ujumla, na mengine mengi. Natanguliza shukrani.
  16. aabb

    Xiaomi Redmi 1s & 2

    Zilete haraka mkuu, hizi ni mashine nyingine kabisa, hasa kwa watumiaji wa camera. Ila watu hawazifahamu, lkn ni mashine kali.
  17. aabb

    Window 10 will launched next month with start button

    Hii itafaa sana, wengi waliichukia windows 8, kwa kukosa pa kuanzia unapowasha comp.
  18. aabb

    Offer: Bajaji zisizotumia mafuta kwa bei nafuu 3.5m tu

    Picha tafadhali mkuu
Back
Top Bottom