Search results

  1. M

    Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Sijui,ila wazir mkuu hajasema uwongo,aliteleza tu ktk kuongea kama binadamu..mh lema angetumia lugha ya kuomba ufafanuz na si k usema kua PM amesema uongo..najua aliteleza kwa k usema waliokufa kule arusha ni watanzania watatu,wakat media zilisema ni wa TZ wawili na mkenya mmoja
  2. M

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    Je mtu kama hana mke,ila ana uwezo wa kuongoza..na jamii pengine inamkubali,je hastahili kupewa?..
  3. M

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    Narudia tena..nimemind sana jins ulivyoporomosha matus,wee unadirik kumuandika mtu hadharan eti yeye ni bwabwa!..et kwa kua hana mke..acha hizo,hiyo ni life style yake aliyojiamulia..ila kwa point zingine ulizotoa,nazikubali japo sina uhakika nazo..acha jazba
  4. M

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    lakin mkuu..sawa hii ni sehem ya mtu ku express freely mawazo yake,ila kuna maneno mengine hayafai kuyaweka hadharan,jarib kupunguza ukali wa maneno..ingelikua wewe ndio huyo mgonja na umeandikwa hivyo,ungejiskiaje?..au ndio unajiona kua wewe ndio Mr. freedom of expression?
  5. M

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    Nionavyo mimi mkuu,maafisa uhamiaji wameshakua na mazoea ya kuneemeka kwa rushwa ndio maana hawana muda wa ku deal na wahamiaj haramu ambao ni choka mbaya. Namaanisha wakimkamata mtu ambae ni mhamiaj haramu na hana hela ya maana,bas watamfungulia mashtaka,ila kama ana hela watapokea rushwa kisha...
  6. M

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    Lakin mimi ninapata was was na hawa maafisa uhamiaji,kwa sababu hata ukisoma huo waraka uliotumwa kwenye blog hii,inaonekana kuna vituo vina neema na vingine havina neema. Sasa does this mean kwamba maafisa uhamiaj wananeemeka kwa rushwa? Maanake vituo vilivyotajwa kwamba ni vya neema, vyote ni...
Back
Top Bottom