Search results

  1. Ritz

    Magaidi ya FATAH na HAMAS yote yenye mlengo wa kidini, yaanza kulumbana

    Uharo mtupu. In response to Fatah’s latest statement... Al-Aqsa Martyrs Brigades in the West Bank: We are ready to arm our people and are siding with the resistance We reject any government formed under American-Zionist dictates Those who challenge the resistance must review their accounts...
  2. Ritz

    Magaidi ya FATAH na HAMAS yote yenye mlengo wa kidini, yaanza kulumbana

    https://x.com/suppressednws/status/1769435407253373235?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  3. Ritz

    Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Chadema hawana jengo lolote wamepanga room 3 upande Mtaa wa Ufipq Kinondoni wanalipa laki 3 kwa mwezi na bado yule Mzee mwenye nyumba analalamika hawalipi kwa wakati kodi.
  4. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    usipende kuongea uongo na kulisha watu maneni sitaki porojo umesema kuwa mimi nilisema. huko nyuma ulisema shule sio muhimu kwao maana wana hela. Ukiniwekea hayo maneno najitoa JF na usipoweka nakuweka kwenye group la mipasho la mashoga. Na sitaki tena kujbizana na wewe.
  5. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Hauna hoja nimekambia niwekee bandiko langu ambalo linasema nimesema elimu siyo muhimu umeshiindwa, hicho ulichokileta hamna hayo maneno, hapo niilikujibu wewe ulikuwa unaponda Madrsa, usikimbilie kusema unatukanwa kama umeshindwa kuonyesha wewe ni punguani unalisha watu maneno ogopa sana mtu...
  6. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Usiwe kama mtoto wa kike kuja na mipasho sikutukani najaribu kukufundisha ukiweza kuniwekea hayo maneno yangu kuwa nimesema shule siyo muhimu najitoa JF usipoweza kuweka huo ushahidi nakuweka kwenye group la mashoga na naacha mjadala na wewe.
  7. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Usilishe maneno wapi nimesema shule siyo muhimu? Halafu unaandika uharo mwingi amabao hauna hoja Waarabu wanajiongoza wenyewe ukuona World Cup Ulaya walikataliwa kuingia Qatar na mambo yao ya kishoga ndege ya Ujerumani iliambiwa igeuze warudi walipotoka hiyo ndiyo kazi ya pesa.
  8. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Mada kunuu ni Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani? Siyo huo uharo uliondika… Hao Waarabu ambayo mnasema hawana elimu leo hii wananunua miataa huko Ulaya na Marekani club ya Man City, PSG, New Castle, Fullam, sote...
  9. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Naana unaongea uharo mwingi picha yako halisi imeishaonekana ni chuki yako kali sana dhidi ya Waislam mambo ya Madrasa yameingiaje hapa? post zangu hata moja sijaongelea dini. Umehama kwenye hoja ya ukmbizi Wewe ni pungauni hauna kitu unachojua. Halafu usiwapangie Palestina cha kufanya...
  10. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wewe ufahamu chochote zaidi ya ubishi hapa kwa ajili ya kupinga bahati nzuri tunawapa watu elimu kupitia wewe unalazimisha wakimbizi wote duniani lazima wapitie UHNCR, pia ufahamu kuwa mpaka upate sifa ya ukimbizi ni process kila nchi na utaratibu wake nchi nyingine mpaka upate makaratasi...
  11. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Unaomba data za UNHCR wakupe idadi ya wakimbizi?😂 Utapata hizo data wapiwakati Israel hawataki kufanya kazi na UN pamoja na masharika yote ambayo yapo chini ya UN hili ulifahamu ndiyo maana povu linakutoka na UNHCR🤣 Wewe si unasema upo Ujerumani nimekuwekea habari kutoka Ujerumani pingq nayo...
  12. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wewe na Waisrael wenyewe tumuanini nani? Jarida maarufu la Israel Time of Israel wameandika wanawakimbizi wewe Muisrael mweusi wa Kamachumu Bukoba unapinga🤣 https://www.timesofisrael.com/jewish-refugees-from-israel-find-comfort-in-countryside-retreat-in-hungary/
  13. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Coming here for me and for my wife is such unimaginable relief,” said Pletnyov, whose apartment building in Ashkelon was hit by a Hamas rocket as the attacks began. “It’s a comforting place to be.” The 34-year-old and his family are now living in a state-owned resort, disused for nearly two...
  14. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Young refugees from Israel listen to a rabbi in a Yashiva in a Jewish refugee camp in Balatonoszod, Hungary, Tuesday Nov. 7, 2023. The camp, which houses around 250 people, including 100 children, provides shelter for Jewish refugees, some of whom escaped war both in Ukraine and Israel. (AP...
  15. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Bofya hapa…👇🏽 https://apnews.com/article/jewish-refugee-camp-hungary-08a3c942cd4477ce81313e8c496c549c
  16. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wakimbizi wa Kiyahudi kutoka Israeli wanapata faraja na urafiki katika kambi ya mashambani huko Hungaria Soma na hii upate darsa. https://apnews.com/article/jewish-refugee-camp-hungary-08a3c942cd4477ce81313e8c496c549c
  17. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Vitu vingi ufahamu napata wasiwasi na ufahamu wako mambo ya kusafiri. Kwa hiyo kama nchi unayoweza kungia bila Viza huwezi kuomba ukimbizi? Soma sheria za Ureno kwa raia wa Israel. As an Israeli passport holder, you are not required to obtain a Portuguese visa to visit Portugal for 90 days. But...
  18. Ritz

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Hvi huko Ujerumani unasoma ujinga? Idhaa ya Kiebrania 12 ilisema kwamba Muisraeli wote anahitaji kuomba hifadhi nchini Ureno ni pasipoti halali, ili kutoa visa ya "mkimbizi" ambayo inaruhusu kuishi na kufanya kazi nchini humo. Hoja siyo Muisrael anaenda wapi bila viza nani kakuuliza? Waisrarl...
Back
Top Bottom