Lazima wewe ni mwizi wa mali za umma ndio maana unashabikia wezi.
Kamwe siwezi furahia ufisadi wa PPF.
Hivi Rais Magufuri anavyo wachukia wezi na mafisadi majizi naye amefukuzwa?
Pole Serikali, kwenye zoezi hili la kuunganisha mifuko, ndipo mtajua madhara ya PPF kuzidisha wafanyakazi kwa sababu zilizokuwa si za msingi.
A lot of money itatumika kulipa kwenye kuwapunguza.
Ameshalipwa hela ndeeefu baada ya kuwabwaga CMA.
PPF Management hupambana na mende au panya kwa kutumia mabomu ya kurushwa na mkono badala ya kutumia fimbo.
Erio sio kilaza ila mbadhirifu wa mali za PPF. Kama Rais atawaacha waibe tena, Mungu atashughulikia suala lao.
Mh. Rais Magufuli,
Tunaomba uchunguzi ufanyike dhidi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Pension wa PPF. Mwaka 2008 waliiba pesa za mfuko na kulipana kati ya shilingi milioni 130 na 220, kwa kujifanya wamestaafu ikingali walikuwepo kazini na bado wapo hadi leo. Walijilipa GROUP ENDOWMENT ambayo ni...
So they benefit from concentrate. Wanatuibia kwa kutokuitoa dhahabu yote na kwenda kuitolea nje ya nchi. NO NO NO! Tumenyonywa kiasi cha kutosha, Tumechezewa kiasi cha kutosha. Unyonge na ujinga wetu ndio uliotufikisha hapo. Mungu katuona katuletea mkombozi John Pombe Joseph Magufuli...
Wameshalambishwa vinoo vya dhahabu na kuwapumbaza akili. Haingii akilini Mbunge aliyepitisha sheria mwaka 2009 aseme kuitekeleza 2017 ni kukurupuka.
Hivi hawa wasomi ni wasomi uchwara au ni makusudi wanatafuta kiki za kuonekana ni HERO? RAIS wangu mpendwa keep it up, be more bold. Nchi hii...
Acheni upuuzi.
1. Ili iweje?
2. Kwani cheo cha Mkuu wa Mkoa huombwa kwa cheti au ni maamuzi ya mteuaji?
3. Toka lini Gwajima akawa mkweli? Mmeshupaa kuwa alizungusha na cheti cha ZERO mnacho!!!! Hamna hata haya, toka lini Baraza la Mitihani hutoa cheti cha mtu aliyepata ZERO? SHAME ON YOU ALL...
Unaonyesha usivyo jali. Aliwakatalia ndipo wakampiga. Kumbaka walijua wataangukia kwenye miaka 30 jela. Kumpiga wataweka maelezo kuwa alikatisha eneo nyeti.
Wapigania haki msaidieni ikiwa ni suala la kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.