Search results

  1. ZINDAGI

    Tarura Temeke, barabara zinazojengwa za zege hazijengwi kama design inavyotaka

    Habari za kutwa, tunaomba wataalam wa Tarura Temeke mpitie hizi barabara zinazojengwa, scope haikamiliki, barabara hazina mitaro, baraara vipande vipande hazikamiliki, taa za barabarani hakuna, Kingdom zinajazwa michanga. Tuhurumieni
  2. ZINDAGI

    Wasafiri wa ndege kuweni makini na wizi kwenye ndege

    Huu ni mkasa uliotokea leo kwa abiria mmoja aliesafiri kwa ndege ya Oman Air iliyowasili leo alfajiri. Kwa kuwa ndege ilikua haikujaa, abiria mmoja aliamua kulala ktk siti 3, baada ya kuwa hewani kwa masaa kadhaa huku amelala akasikia abiria wa nyuma yake analalamika begi yake ya mkononi (hand...
  3. ZINDAGI

    Hayati Mwalimu Nyerere, napenda kukujulisha yafuatayo yanayoendelea

    Ee Mwalimu Nyerere, leo tunaadhimisha miaka 24 tangu kuondoka kwako ktk uso wa dunia, haswa hapa Tanzania. Napenda kukujulisha yafuatayo yanayoendelea. 1. Hapa nilipo naandika huu uzi umeme umekatwa na Tanesco. 2. Bei ya mafuta ni zaidi ya Tsh 3,000 4. Kwa mara ya kwanza Yanga kaingia makundi...
  4. ZINDAGI

    Mvua za El-nino bado zipo?

    Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu. Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa...
  5. ZINDAGI

    Waziri Mchengerwa, Barabara ya Uwanja wa Taifa wamechimba mashimo na kuyaacha

    Mheshimiwa alitoa agizo la.kuziba viraka lifanyike na likamilike, na kama hampo tayari msichimbe. Leo ya tatu mashimo hayajajazwa, nimepiga shimo usiku huu, na kuna kitu kimevunjika. Hivi kwanini haya maagizo ya viongozi huwa hayatekelezwi?
  6. ZINDAGI

    RC Chalamila naomba uiangalie Temeke

    Kwanza nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa kiongozi mkuu wa mkoa huu wenye sura ya nchi, wewe ni kiongozi sahihi kwa mkoa huu wa DAr es Salaam. Pili, katika kiindi kifupi ulichokaa tumeona umeenda kugusa maeneo yenye matatizo ya mkoa na humungunyi maneno, wanasema una hit the target. Ombi langu...
  7. ZINDAGI

    Kiwango cha Barabara ya Mwendokasi Gerezani - Mbagala

    Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana. 1. Jana nilikwua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya...
  8. ZINDAGI

    Kwenu mnaiita vipi hii kitu

    Kwetu tulikua tunaita kijogoo
  9. ZINDAGI

    Kiwango cha mwendokasi Chang'ombe

    Najaribu kutafakari kwa kiwango cha ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kati ya JKT kilwa Road mpaka Chamgimbe, kiwango cha ujenzi kiangaliwe . 1.Kingo za barabara hazijanyooka 2.Tofali za pembeni zinamegeka 3.Baadhi ya chamber mifuniko imefumuka 4.Zege inamawimbi. 5.La mwisho, barabara moja ya...
  10. ZINDAGI

    Viongozi tuokoeni wakazi wa Temeke Mwisho

    Imekuwa kawaida kwa muda mrefu sasa, vijana wanaofanya shughuli zao zisizokuwa rasmi maeneo ya Temeke mwisho kuchoma matairi ya magari na mabaki ya makopo ya Aluminium mida ya usiku mwingi. Hali hii huleta kusambaa kwa moshi mzito katika maeneo haya tunayoishi hali inayoletea watu kuvuta hewa...
  11. ZINDAGI

    Say no kwa kocha wa Simba

    Hataufai, hajui mechi zetu, anakurupuka, atatugharimu. Bora kuziba ufa mapema kabla hatujavunja nyumba. Nasema No, aondoke
  12. ZINDAGI

    Wasimamizi wa barabara za mjini liangalieni hili

    Inashangaza na kuhuzunisha kuona watu waliopewa dhamana ya kuzitunza na kuziangalia barabara zetu hawatendei haki majukumu yao, hii inasababisha matatizo makubwa kwa wateja wao ambao ni sisi sote watumiaji wa barabara hizo. Utakuta watu wanachimba barabara kuziba viraka au kuchimba mashimo...
  13. ZINDAGI

    Nini unatakiwa kufanya baada ya kupokea "notice of appeal"

    Habari za kazi, Naomba kujua hatua gani ya kufuata baada ya kupokea notice of appeal kutoka kwa mtu niliemshinda katika kesi ya ardhi. Naomba msaada wenu katika sheria.
  14. ZINDAGI

    NI wakati sasa vimbunga navyo tuvipe majina ya kibantu

    Nmeshuhudia mara zote matukio ya vimbunga duniani vinapewa majina ya kizungu, ili kuwe na usawa naona na sisi tupaze sauti na sisi tupewe nafasi tuweze kuyatagaza majina yetu kama: KIDAWA HURRICANE CHAUREMBO HURRICANE MWANAIDI HURRICANE IKININI HURRICANE MWAKIBETE HURRICANE MKUDE HURRICANE...
  15. ZINDAGI

    Sherehe za miaka 60 ya Uhuru, Temeke mmejipangaje?

    Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia. Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
  16. ZINDAGI

    Hii desturi ya wasafisha mitaro Temeke, wahusika hawaioni

    Mara baada ya zoezi la ,kuondo wamachinga kukamilika ikaja kampeni ya kusafisha mitaro, ambayo ni kitu kizuri sana. Kitu cha kushangaza sijawahi kuona yale marundo ya uchafu yanayowekwa pembeni kuondolewa na waliopewa ile kazi. Kuyaacha pale pale ya marundo kunaletea vitu viwili 1.Mchanga na...
  17. ZINDAGI

    Mvua maeneo ya Dar es Salaam, sitashangaa kusikia watu wanalalamika

    Binadamu ni mtu wa ajabu sana, ana hulka ya kulalamika kila kitu. Sitashangaa kusikia wanaanza kulalamika 1. Mvua zimekua nyingi, 2. Mafuriko serikali haitujali 3. Jangwani hapapitiki usafiri shida 4. Biashara zimedoda Hata hatujulikani tunataka nini Tushukuru tunachokipata
  18. ZINDAGI

    Miaka 100 ya Uhuru wa Tanzania

    Nipo naandika hapa, najua sitakua hai muda huo ukifika, lkn ningependa kujifikirisha maendeleo tutakayokua nayo siku ya kilele cha kusherehekea miaka 100 ya Uhuru wa Tanzania. 1.Daraja la kwenda na kurudi Zanzibar lazinduliwa. 2.Kiwanda cha kutengeneza magari Tanzania, tutayaita Twiga 3.Treni...
  19. ZINDAGI

    Wakazi wa Temeke tunaimba tujengewe barabara kama za wilaya ya Kinondoni

    Nashindwa kuelewa kwanini ndani ya Dar es Salaam hii hii, viwango na ubora wa barabara unatofautiana sana, ukiangalia barabara zinazojengwa Kinondoni, zina ubora na muonekano mzuri sana, si sawa na barabara za Temeke (Ingawa zipo chache). Hivi hawa wahandisi wa barabara za Temeke hawalioni...
  20. ZINDAGI

    Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
Back
Top Bottom