Search results

  1. kassim mory

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Unazani nani atakaeleta madawati na maabala ktk shule za serekali!!? Wakati wanaotakiwa kuzipigania watt wao wanasoma plt, tuamke tukiboresha shule zetu za serekali zitakua bora kuliko plt. Amka mtanzania anaetetea plt ni mafisadi.
  2. kassim mory

    Agizo la Wizara ya Elimu kuhusu Ada ni punishment kwa wazazi?

    Zisifugwe kikubwa, kwakua shule zao zipo kibiashara zaidi walipe kodi kuongezea taifa kipato.
  3. kassim mory

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Amefuaata maagizo ya magufuli, yakua yako tayari kubaki na wanachama watano waliokua safi kuliko kua na wanachama wengi ambao ni wanafiki na wanategemea chama kuwalee na bado kwa kasi hii ya jamaa wengi wataondoka maana masilahi yao hayako tena.
  4. kassim mory

    Mungu yupo, Moto upo na Pepo ipo (majibu)

    Ukweli utabaki palepale mungu ataendelea kua mungu na sayansi itabakikua sayansi. Mungu ndio mwenyesayansi ya hali ya juu kuliko sayansi ya wanadamu.
Back
Top Bottom