Search results

  1. M

    Operesheni UKUTA: Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

    "Sisi"...! Wewe unaamwakilisha nani zaidi ya nafsi yako?!!!
  2. M

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Mbona hakuna jipya hata moja hapa ? Watajirudia rudia Hivi Mpaka lini Jamani Hawa wenzetu? Mbona hawatoi tamko la mgawanyo wa ruzuku Kwa UKAWA ? Mbona hawasemi Ni lini watapeleka report ya matumizi ya uchaguzi mkuu..??
  3. M

    Taarifa kuhusu maazimio ya Kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA

    Natumaini pia watatolea tamko haya 1. Ni lini watawasilisha Gharama za uchaguzi Kwa msajili wa vyama. 2. Utaratibu wa mgawanyo wa ruzuku ndani ya UKAWA Hii Ni mijimu maana inahusu fedha Za walipa kodi wa nchi Hii .
  4. M

    Taarifa kuhusu maazimio ya Kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA

    Kwa siku nne walikuwa busy wana "Edit" hotuba Za Rais Magufuli Na Mh Majaliwa pamoja na matukio mbalimbali ya CCM ili wapate cha kuongelea angalau wasikike. Hawana Tena sera zao na kukaa kimya kwao Ni dhambi kubwa.
  5. M

    Safari ya Magufuli kuondoka Dar ni kama "The Great Trek" ya Makaburu wa Kidachi(1835-1846)

    This is the most ridiculous post I have seen in this forum....! Uamuzi wa tangu 1973 ambao unaenda kakamilishwa sasa unahusishwa na UKAWA iliyozaliwa Mwaka Jana Tena kutokana na hofu ya kushindwa uchaguzi mkuu ...??? Kweli mmevurugwa na sasa hata vitu vya kusema hamvifikirii Tena...... Shame on...
  6. M

    Mnamsingizia Lowassa kila kitu ili muonekane wasafi, je hili ni la nani?

    Waliochangia wako huko Chadema, unawajua maana wameshika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo ugavana wa bank kuu hadi mawaziri wakuu Kwa miaka 12 mfululizo...!
  7. M

    Mawakili wa Kiholanzi wapewa kazi ya kuimaliza CCM kwenye Mahakama ya ICC

    Endeleeni na Njozi za mchana tu.... Inasikiliza kesi za uchaguzi...!!!!!
  8. M

    Sumaye: CCM kaa chonjo

    Huyu failure mkubwa amesimamia Serikali Kwa muda mrefu kuliko mwaziri mkuu yeyote....!!! Leo anawaambia watu hakufanya kitu...! Then anasema wakae chonjo...... Nonsense....,
  9. M

    Sumaye: CCM kaa chonjo

    Ameshapitishwa kugombea uenyekiti wa kibaha..?!!
  10. M

    Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Hebu uliza hili swali kule Kwa wazungusha mikono usikie majibu....!
  11. M

    Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

    Na kuwa na mzazi Kama Kingunge na Sumaye ... Ni heshma au ?
  12. M

    Uongo huu wa Kikwete unakera sana!!

    Wewe kereka tu wala haidhuru kitu lakini Ndiyo ukweli na ukweli unauma ... Labda Ndiyo unachoita kukereka badala ya kusema roho inakuuma kusikia huo ukweli...
  13. M

    Lowassa angekuwa madarakani, watumishi mwezi huu ingekuwa ni kicheko na kushangilia

    Hii Ndiyo classical Utopia.... Huyo EL angekuwa anawafikiria wananchi huko Monduli wangekuwa na ufukara walionao?! Kama hamna cha kuandika kaa kimya ... Hiyo nayo ni busara.
  14. M

    CHADEMA yafungua kesi kwenye Mahakama ya Haki EAC dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli

    Kwanza hamna kesi hapo hizo karatasi zimetayarishwa ziko plain... Ni gagari tu.... Na ingekuwa Kweli , Unafikiri hao wana sheria wanajilipa toka wapi? Safari za Arusha zitagharamiwaje? Malazi na chakula nani analipa ? Hapo imeshaundwa "OPERATION " sasa Ni kula tuu.....
  15. M

    Huu uongo wa Katibu mkuu wa CCM Kinana sasa umezidi!!

    Wizi gani Tena wakati mmiliki mpya wa Chadema amewaifia Bavicha Kwa Kazi neuri ya kulinda kura wakati wa uchaguzi mkuu 2015!!!!
Back
Top Bottom