Search results

  1. S

    Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

    Mbona mnanichanganya? Jana nimemsikia Kafulila VOA akipinga ubovu wa serikali ya JK na kukataa kuwa CHADEMA ndiyo wachochezi wa migomo. Sasa sijui nini ni nini, nani ni nani!
  2. S

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Ni jana tu,Spika ametamka kila Mbunge akopwe Milioni 90 kununua Motokaa yake inayoweza kuhimili barabara mbovu za Tanzania! Vilevile serikali imeamua kununua pikipiki za miguu mitatu "bajaji" kutumika kubebea wagonjwa mahospitalini huko vijijini! (sijui huko kuna barabara nzuri?). Hebu Wana...
  3. S

    MAKINDA: Swala la Lema sitalirudisha bungeni (Amehofia nini?)

    Asipoacha Ukurupukaji,bunge litamfukunyua na kumgagadua,hatimaye umaarufu anaotaka ataambulia "ufuliaji". Akichakachua tu, atajikuta ni Spika wa kwanza kusababisha uvunjifu wa Amani Bungeni na Tanzania kwa Ujumla. Aluta continua Godbless Lema!
  4. S

    Masikitiko yangu juu ya mtazamo hasi kwa wand UDOM

    Udom msipowazomea hao wakina Thobias na uongozi wenu mtazidiwa hata na vyuo vya diploma. Msiogope kufelishwa na wanathithiemu,hata thithi Udsm dhamani tulibanwa hivyo,lkn misho wake tulichomoka.
  5. S

    Polisi wamtelekeza mtoto waliyempiga risasi

    Kwa hali kama hii,nashindwa hata nisemeje, lakini Tanzania kilichopo ni WOGA na si AMANI!! Hao askari wanatumikishwa vibaya. Naamini askari hao ukifungua mioyo yao hawako radhi,ila kwa sababu ya kile kinachosemwa HAKUNA KUHOJI ndani ya jeshi. Jamani enyi watawala,siku Watanzania...
  6. S

    CHADEMA msiige Tembo

    Mwiba! Unaonekana Mpemba hodari!! Kaza buti kaza buti,hivi Tanganyika bila Pemba haiwezekani? Umesahau mapinduzi ya Wazanzibar January 12,1964 yalifanywa na nani,KARUME alikuwa anakunywa kahawa wapi? Tehe~tehe~teheeee!
  7. S

    Nahodha umesahau mauaji ya pemba?

    Waziri mwenye dhamana ya mauaji,Shamsi V. Nahodha,ametoa kauli ambayo yeye mwenyewe anaonekana haelewi anachosema. Nahodha alisema vurugu za Arusha ni ugomvi wa kisiasa hivyo utasuruhishwa kisiasa! Nahodha haoni kuwa kama kweli huo ni ugomvi wa kisiasa,basi hakuwa na sababu ya kupeleka wauaji...
  8. S

    DOWANS: Slaa ulituongopea!

    Enyi wana JF,msimlaumu,hapo ndipo uwezo wake wa kufikiri umeishia! Asipokula kuku na mayai ya kichina anaweza kufikiri zaidi ya hapo. Kama JK anaamini hahusiki na DOWANS hebu aend mahakamani,mbona alitajwa kwenye orodha ya MAFISADI na haendi mahakamani. Tetea hizo Hela ili uhongwe 2015
  9. S

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Mamlaka iliyoko chini ya katiba mbovu ikimwambia makamba aue anaweza kukubali? Probably mzee huyu anaweza maana uzoefu unaonesha mamlaka hiyo hiyo imemuweka mamlakani mwalimu wa skuli ya msingi aliyebaka! Viongozi wa dini mnavyokubali Biblia takatifu inavyochakachuliwa na Mzee huyu kilaza wa...
  10. S

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Kama viongozi wa dini wanakaa kimya Pale Makamba anaposoma Biblia kichwa chini miguu juu,basi dini ya Kikristu nayo inaelekea kuchakachuliwa. Makamba Biblia si Imani ya CCM ambayo wewe na wenzako mmeichakachua kwa kupoteza ule usawa wa watu na kuweka matabaka kati ya nyie MAFISADI na WANYONGE...
  11. S

    Wanafunzi Udom wajiandaa kuiandikia serikali waraka

    Katika kile kinachosemwa ni kutofurahishwa na namna jeshi la polisi linavyoikanyagakanyaga misingi ya Demokrasia,wasomi udom wanajiandaa kuitwangia serikali waraka wenye kurasa 100 kuilaumu. Tetesi hizo zimeibuka mara jeshi la polisi kupitia IGP MWEMA kuyazuia maandamano ya CHADEMA kwa kile...
Back
Top Bottom