Search results

  1. B

    Binti ajinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti

    Huyo dada nasikia kabla ya kwenda chuo alikuwa ashaolewa. Baada ya kufika chuo akapata mpenzi ndio atapata ujauzito na jamaa wa chuo aliyempa ujauzito akamkataa na mwishowe ndio akachukua hayo maamuzi baada ya kujifungua
  2. B

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Sio kweli kuwa HR wote wanapokea rushwa, mimi ni HR na sijawahi pokea rushwa hata mara moja, hilo ni tatizo binafsi la huyo jamaa
  3. B

    Kituo cha Afya Kongowe Kibaha huduma ni mbovu

    Clinic wanafanya kazi kuanzia jumatatu mpaka ijumaa na jumamosi na jumapili kazi ni wodini tuu na wagonjwa wa dharura
  4. B

    PSPF wakaidi agizo la N/Waziri wa Fedha kulipa wastaafu

    Hii mifuko ina hali mbaya kifedha kwani kwa muda mrefu serikali haijapeleka michango kwao, hivyo hata serikali inajua nini tatizo.
Back
Top Bottom