Search results

  1. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Solution yangu ni ku solve hasa kwa wasiodai risiti kabisa. Kama atakupunguzia na kukupa risiti its OK. Kumbuka ukidai risiti unarudishiwa pesa yako ambayo ni 1% ya VAT uliyotozwa.
  2. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Kwasababu utapata sms ya risiti papohapo, utaona bei aliyokuandikia ikiwa tofauti unamwambia akuandikie ya kiasi kilicho pungua papohapo
  3. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Taarifa anazojaza kwenye EFD ndio hizo hizo atajaza kwenye App ya TRA utofauti ni kuwa kwenye EFD aki submit inatoka risiti ya karatasi ila kwenye huu mfumo utatuma sms automatically kwa mteja simple as that
  4. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    kwahiyo unataka kusema EFD machine pia hawawezi kuzitumia? Maana kwenye mfumo anachojaza ni bidhaa, bei na namba simu ya mteja tu. Kama ambavyo angejaza kwenye EFD machine.
  5. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Kwenye huu mfumo kinachobadilika ni kuwa mfanyabiashara hatatumia machine EFD bali atajza taarifa za ununuzi kwenye mfumo kama kwenye EFD ikiwemo na namba ya simu ya anayenunua then aki submit mteja anatumiwa sms ya risiti yake.
  6. guojr

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Habari za wakati huu wadau wa maendeleo, leo nimekuja tena kuangazia namna TRA inaweza kuchukua hatua ili iweze kuongeza ukusanyaji wa mapato nchini. Kama tunavyojua kodi ndio inayotumika kufanya maendeleo na kugharamia shughuli za kila siku za serikali, lakini TRA inashindwa kukusanya mapato ya...
  7. guojr

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Bila shaka mwandishi umepata inspiration kutoka kwenye uzi huu hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/mfumo-wa-utambuzi.2007990/
  8. guojr

    SoC03 Nafasi ya uzalendo katika kuimarisha Utawala Bora

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni muhimu kwa utawala bora, jukumu la uzalendo halipaswi kupuuzwa. Uzalendo, upendo na kujitolea kwa...
  9. guojr

    SoC02 Mfumo wa utambuzi

    Leo ningependa kuongelea kuhusu mfumo wa utambuzi unaotumika hapa nchini kwetu. Mimi binafsi nashindwa kuelewa kwanini inapofika swala la utambuzi kunakuwa na uchaguzi kadhaa za utambuzi mfano unaweza kuambiwa ulete kitambulisho cha taifa, kadi ya mpiga kura, leseni ya udereva au pasi ya...
  10. guojr

    Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Pili

    Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa. Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
  11. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Binafsi sijawahi kupata ujumbe wowote ninapo apply wala nipokua shortlisted.
  12. guojr

    Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Kwanza

    Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika. Wengi wetu tunapotaka kuanzisha biashara tunajiuliza kuwa ni biashara gani inalipa ili uweke pesa zako zikupatie...
  13. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Acknowledgement unapata kwa njia gani? Email au SMS?
  14. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Sio mbaya watanufaika watoto wetu, kikubwa walione hili na wafanyue kazi.
  15. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Waweke maslahi ya watu wengi mbele.
  16. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Sisi tunajadili issue ya maana analeta utani[emoji23][emoji23][emoji23]
  17. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Wanafanyakazi kizamani sana, hivi hawamo humu tuwa tag?
Back
Top Bottom