Search results

  1. P

    TPB BANK - BANK OFFICERS (PEMBA).

    Habari wana jamvi. Ninaomba kuuliza kwa mwenye taarifa ya nafasi za kazi zilizotangazwa na TPB Bank za Bank officers 2 (Pemba), deadline yake ilikuwa tarehe 16/07/2018. Je wameita watu kwa ajili ya usahili?
  2. P

    Kuumwa na Kichwa Baada ya Mazoezi......?

    Habari. Mimi huwa nafanya jogging ambapo huwa natumia saa moja au mawili. Huwa ninaumwa na kichwa baada ya mazoezi (siyo mara tu nimalizapo), nikiwa nimepumzika. Tatizo ni nini, na je itaniletea madhara gani? Naomba kuuliza.
  3. P

    Ni nini side effects ya vidonge vya water guard katika maji?

    Habari Matumizi ya Vidonge vya water guard, je vina madhara katika afya ya mwanadamu?
  4. P

    Ajira portal response..

    Helo members! After applying through Ajira portal, getting to know that my application has been successful. How do I receive feedback, is it either through my email or.....?
  5. P

    Tanroads - Tanga, je wameita watu kureport?

    Habari wadau. Mwenye information kama Tanroads Tanga. Wameita watu kuanza kazi, maana kimya king I tuko interview zifanyike November 2016? Au mwenye information kwanini recruitment process inatake long time? Shukrani.
  6. P

    TANROADS Tanga wameita watu kwenye Interview?

    Habari wadau? Nahitaji kufahamu kama TANROADS Tanga, wameanza kuita watu kwenye interviews. Nafasi za kazi zilitangazwa 29/09/2016.
  7. P

    HESLB, ajira walizotangaza September

    HESLB walitangaza ajira mwezi September, je, kuna mwenye ufahamu juu ya hizo nafasi? Kama wameita watu kwa ajili ya usahili naomba kujuzwa.
  8. P

    Hello!

    Helo ladies and gentlemen. I am a new member.
Back
Top Bottom