Search results

  1. I

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Mtupieni Tigo pesa No. 0719583949
  2. I

    MkikiMkiki; Mdahalo wa uchumi kwa vyama vya siasa unaoneshwa Star TV 27Sept 2015

    Kwa miwani ya ccm ilitazamiwa kusema hivyo. Ila kwa wengine neutral ukawa wamefunika mbaya. Hakuna mtu aliyechambua sera kwa lugha nyepesi kama ukawa
  3. I

    Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    umenifurahisha sana hilo la padre mzinifu. Hawa ndio wanaharibu taswira ya kanisa katoliki. Alizaa mwaka 1985 wakati upadre aliacha mwaka 1992
  4. I

    Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

    Kwa tathmini yakinifu, mwaka 1995 upinzani uligawanyika sana na hukuwa na mipango yeyote ya maana. Hata hivyo upinzani ulipata kura za urais asilimia 40%. Mwaka 2010 upinzani pia ulikuwa dhaifu na hawakuwa wamejipanga vema. Hii kasi ya CHADEMA mnayoiona imeanza baada ya uchaguzi wa 2010. Hata...
  5. I

    WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

    Jana ZZK alinukuliwa akisema wiki ijayo kuna jambo linaenda kutokea ambalo litabadili kabisa siasa za Tanzania. Tukae mkao wa kula
  6. I

    Dalili za Lowassa na Kingunge kutimukia UKAWA hizi hapa

    Toa maoni yako na piga kura yako. Je, mpango wa Lowassa kujiunga na jeshi la ukombozi kutaimarisha zaidi upinzani?
  7. I

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Alianza kumjua ZZk lini? Mbona kabla ya usaliti hakusema hivyo?
  8. I

    Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Wewe vipi uwanja ulijaa full wewe unasema umedoda?
  9. I

    Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Yanaweza kusemwa mengi ila lililo dhahiri ni kuwa CCM hawana uwezo wa kuchukua political risk kubwa hivi. Lowassa ni kama kidonda cha mguu, uukate mguu upate kilema cha maisha au uutibie? Wakichukua njia ya kukata mguu uchaguzi mtaupoteza na hapo ndio mwisho wa ccm
  10. I

    Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Wandugu, Kila mmoja ameshuhudia jinsi Mh Lowassa alivyotikisa nchi. Watu wenye mawazo madogo wanasema jamaa anatumia pesa. Jiulize huyo jamaa ana trillion ngapi? Ukweli nyota yake imeng!aa na anakubalika na zaidi ya 60% ya wana CCM. Kama CCM wana ubavu basi wakate jina lake. Ataondoka na...
  11. I

    CHADEMA kuja na amsha Wanawake Tanzania, jumapili hii Kawe

    Hongereni sana makamanda
  12. I

    Zitto Kabwe awa gumzo Tabora, amfunika Lowassa

    Wastage of effort
  13. I

    Pinda kutangaza nia kesho live kupitia ITV

    Mpuuze Pinda at your peril
  14. I

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    unataka ushahidi wa aina gani? Muulize kama hajafutiwa matokeo. Muulize kama alikata rufaa kama alionewa maana baba yake alikuwa mkuu wa mkoa asingeweza kukubali mwanae aonewe. Muulize waliokatiwa matokeo walikuwa wangapi? Maana ingekuwa darasa zima sawa lakini alikuwa yeye peke yake
  15. I

    Kazi maalumu ya kumchunguza mzee wenu imekwisha na majibu yaonyesha mnatolewa kwenye wagombea

    Atalipiza kisasi kwa mafisadi si kwa sisi watu wadogo
  16. I

    Kitila abainisha madhaifu mawili ya Zitto Kabwe Katika Uongozi

    Feedback Umepatia kamanda. Kwanza ZZK namwona kama dictator maana haamini katika mawazo ya wenzake na si team player. Ndio maana alikuwa haamini kwenye maamuzi ya vikao. Pili kama ulivyosema si mtendaji maana ofisi yake chadema hakuwahi kufika. Anapenda tu vyeo ila hawajibiki
  17. I

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Kuna watu mna pumba sana. Tundu lissu mchagga? CCM imeshawafukuza Wangapi?
  18. I

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    laki si pesa Mkapa alisema kama unadhani wewe Ni maarufu kuliko ccm basi nenda upinzani tuone kama utaendelea kuwa maarufu. Chadema imefanya vizuri serikali za mitaa bila zzk sasa itasambaratika vipi?
Back
Top Bottom