Search results

  1. RasJah

    Hii habari ya uuzwaji wa NBC imenisikitisha sana, naamini itamsikitisha kila mzalendo wa nchi hii

    Lakini Baba wa Taifa alichemsha kutuletea huyu Chinga na mwishowe madudu mengi yametendwa huyu BMW.
  2. RasJah

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Kwa kweli ni habari ya masikitiko kwa Taifa letu! Mungu atuongezee nguvu na kukabili hili janga la msiba wa kitaifa!
  3. RasJah

    DC aagiza Mkurugenzi Namaingo kukamatwa kwa kutapeli wananchi 4000 na kukusanya pesa zaidi ya TZS Bilioni moja

    Kwakweli huyu mama Baya Biubwa Ibrahim ni mwizi kwani kwenye kampuni yake ya Namaingo Business Agency Ltd alisajili na kuwa Wakurugenzi watatu yaani Mwanae na Nduguye wa kike. Sasa cha ajabu alikuwa hajasajiliwa na NEEC na hata Brela hakuwa na usajili wa PLC yaani Public Limited Company ambayo...
  4. RasJah

    DC aagiza Mkurugenzi Namaingo kukamatwa kwa kutapeli wananchi 4000 na kukusanya pesa zaidi ya TZS Bilioni moja

    Hizi hapa chini zina muonyesha huyu Biubwa Mkurugenzi wa Namaingo akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mwakilishi wa Ikulu Utumishi, Mkurugenzi wa TBCCLTD, na Watumishi wake na Ugeni wakiwa Majohe, Dar wakati wa ufunguzi wa mradi wa sungura.
  5. RasJah

    DC aagiza Mkurugenzi Namaingo kukamatwa kwa kutapeli wananchi 4000 na kukusanya pesa zaidi ya TZS Bilioni moja

    Huyu mama Biubwa wa Namaingo ni bonge la jitapeli tena la kimataifa alafu ni darasa la saba kama Papa Msoffe na Alex Massawe, Sasa huyu huwa anatumia viongozi wa Serikali mfano Mkuu wa Iringa Mama Amina Masenza angali picha na mwakilishi kutoka Ikulu, Utumishi na watumishi wake au washirika...
  6. RasJah

    Kutoka Ikulu: Ushiriki wa sekta binafsi katika Tanzania ya viwanda, Mengi akosoa ukadiriaji kodi kandamizi wa TRA

    Naona JPM anayarudia matabishi yake akumbuke mzunguko wa fedha kwa walaji wa mwisho upo chini sasa hata mfanyabiashara lazima atafunga duka lake kwani hauzi na TRA wapo mlango wadai kodi zisizo rasmi na hata huyu mtanzania bado anadaiwa kadi lukuki mfano PAYE, VAT and excise duties ambazo hulipa...
  7. RasJah

    Rais Magufuli amewateua Alphayo Kidata na Simon Mumwi kuwa Mabalozi

    Mshahara wa dhambi ni mauti!
  8. RasJah

    Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Siasa za africa hazina tija kabisa!
  9. RasJah

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Na hizo bank zingine tatu ni zipi ambazo zimepewa onyo kali?
  10. RasJah

    Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

    Unajua Dogo Nape kilichomponza ni kujisahau kuwa CCM yenye ndiye vibrate youth hakuna atayemgusa. Kumbe sio sahihi mara Wema Sepetu to fight for her devilish act.
  11. RasJah

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Viva JPM, Viva CCM, Viva Babu Seya, Viva Papi Kocha, and Viva Tanzania, Ziii Keko and Judicial Systems over forceful sentencing led by directives and Corrupt law enforcers. Rhumba kwa kwenda mbele sasa. Seyaa wa mikwalo!
  12. RasJah

    Kampeni meneja wa Katambi, mwenyekiti wa BAVICHA Shinyanga Mjini aanika siri za katambi kuhamia CCM

    Sad newz bob katambi usiwe Kunguru Kuwa Patriotic kwa wadau waliokutoa!
  13. RasJah

    Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    U know this country bhnana has big big problems of handling matters and I wonder JPM knew that the very company suspended or chased away by JPM himself when he was a minister of works and construction we are paying on our brad nose! Presidency is an institutional everyone knows except for all...
  14. RasJah

    Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Unajua JPM huwa amegundua yeye wa TZ niwaoga sana lkn ni watu hatari mno kwani huwa wanatenda kimya kimya!
  15. RasJah

    Miezi nane tangu sakata la makinikia lianze kufukuta, je wahusika hawakamatiki?

    Unajua kazi inakuwa ngumu kuwabana au kuwakamata itabidi Marais JMK na BMW ndio aanze nao na yeye awepo kwani mabaraza yote ya awamu ya 3 na 4 alikuwamo na kwann hakuweka shilingi kupinga hiyo miswada aliogopa kufukuzwa kazi? Hivyo basi makinikia ni sinema tu kwa TZ kuonyesha kuwa anajali na...
  16. RasJah

    Mwandosya 2015: Magufuli hajawahi kuwa mwenyekiti wa CCM (W) hata kijiji wala kata atamudu vipi uenyekiti wa CCM

    Hata Rais Moi wa Kenya alikuwa Mwalimu wa Shule na Kapi-experience ya siasa pori za ukali na ukabila na kufikisha kenya pale ilipo kuanzia kwa mfungwa late Kenyatta expert wa tribalism na nepotism nchini kenya ambaye ameacha crisis ambayo taifa la Kenya linaweza kugawanyikuwa kama North-South...
  17. RasJah

    NEC: Bado hatujapokea Barua ya Kuvuliwa Ubunge wa Nyalandu kutoka kwa Spika

    Naona hali ya kisiasa TZ haiko shwari cha msingi msaada au collective agreements ya nchi nzima na Urais wa nchi ni Taasisi ambayo inahusisha mikoa yote na watu pasipo kujali au kuweka kupendelea kabila fulani that is wrong nchi itakuwa nzito kimtazamo.
  18. RasJah

    CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

    Mambo yamekuwa mambo Hali sio shwari Kisiasa TZ na CDM wanavuna wadau kiulaini???
  19. RasJah

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Hii kali kabisa fagio la chuma linapita? Hii kali kuliko kwani madudu au taka zote zitakwisha na ile thana ya code of good governance itatimika na kuwa na viongozi wenye weledi.
Back
Top Bottom