Search results

  1. Anderson P.Mukono

    Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    Ndugu zangu tusameheane maana lugha hii imepanda ndege. Si mmeona hata mku wa chuo ametema dongo. Ung'eng'e nooooooma.
  2. Anderson P.Mukono

    Utata wa kifo cha muasisi wa FRELIMO na kuibuka kwa Samora Machel

    Mmmmmmmmmmmmmmmmmh! Akhsante kwa kutoa uhusiano wa kihistoria zaidi ya nilivyouliza kuhusu uhusiano wa KIFALSAFA na UTENDAJI.
  3. Anderson P.Mukono

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Watafuata taratibu gani ambazo hawafundishwa wala hawajapewa?
  4. Anderson P.Mukono

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Akitumia barua anajua magazeti hayatapata headlines. Yani serikali imejaa watu wa misifa tuuu. UMELOGWA TWAHILI, SIO BURE. KAMA HUWEZI KUSOMA HATA KUTAZAMA PICHA HUWEZI????
  5. Anderson P.Mukono

    Msaada: Nahitaji mtoto

    NGIRINI HUYU BINTI MMRANGU HATAKI MTOTO WAKO ANATAKA WA MUMEWE! LABDA NIULIZE SWALI, MMEOKOKA WEWE NA MUMEO?
  6. Anderson P.Mukono

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Shida hapa ni moja. Yaani baba akiwa kichaa sio ajabu kuona anazaa watoto wendawazimu. Waliangalizia alivyokuwa anafukuza JPM na wao wanaiga. Kumbe ukiIga kunya kwa tembo.......... Hata hivyo kama JPM tamko aliloitoa ndani ya ya miezi minne tayari amelitengua anapaswa kujitafakari. Siujui...
  7. Anderson P.Mukono

    Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    Na kingekuwa kinamilikiwa na wakatoriki hakuna mwanachuo anayeweza kusubutu kuanzisha fujo. Ila wahindi ni waoga tu. Fuatilia kam,a kuna SAUT yeyote yenyew historia ya migomo? "ukatorick sio dini ni utawala"
  8. Anderson P.Mukono

    Utata wa kifo cha muasisi wa FRELIMO na kuibuka kwa Samora Machel

    Yericko na wanajukwaa naomba tusaidiane , "Kuna uhusiano gani wa kifalsafa na utendaji kati ya CCM na FLERIMO ya sasa?" Pia izingatiwe kwamba mwaka 1976 vikosi vya Tanzania vilikuwa vimeambaa katika viunga vya Maputo na hadi mwishoni mwa 1978 ilibidi askari wa Msumbiji waje kusaidia Tanzania...
  9. Anderson P.Mukono

    Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    St. Joseph sio ya wakatoriki labda St.Augustine. Pia magazeti huwa hayaangaliwei bali yanasomwa"Read newspapers" pia website huwa haiangaliwi bali inatembelewa " Visit our website" hivi kweli notisi hii imetolewa na mkuu wa chuo au?
  10. Anderson P.Mukono

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Kesi zilizomkumba JPM kwa sababu ya ukurupukaji na ufukuzaji wa wakandarasi ni nyingi na karibia zote serikali ilishindwa hivyo kodi yangu , mimi na wewe ndizo zilifidia hasara ya ukurupukaji wa waziri wa ujenzi enzi hizo JPM. Na tayari hadi sasa waliofukuzwa TPA wameshafungua kesi mahakamani...
  11. Anderson P.Mukono

    Utata wa kifo cha muasisi wa FRELIMO na kuibuka kwa Samora Machel

    Yericko hii kuilinganisha na Tanzania kwa Lowassa na Magufuli ni matumizi mabaya ya ubongo.
Back
Top Bottom