Habari wana JF
Hivi kama umefaulu O-level basic maths kwa D alafu BAM ukapata F ...lakin comb yako una Div 3. Unaweza kwenda course unayotaka na sio uwalimu.
Good evening wana JF
Nilikuwa nauliza swali HV inawezekana mwanaume kama hajawahii shiriki mapenz na mwanamke tangu azaliwe na sio MTU wa mazoez wala mlaji wa vitu kama pweza au supu za pweza au mufuatiliaji wa mambo ya ngono ( video za porn)....siku yakwanza kufanya mapenz na mwanamke akampiga...
GoodEvening wana JF..
Nilikuwa na swali hv inawezekana MTU aliemaliza form six na Division 3 point 16 akapata chuo cha private au public kuingia degree courses....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.