Search results

  1. M

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Hivi ni mimi peke yangu nashindwa kufungua picha yeyote ile humu JF au kuna tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mwanaume wa kuzaa nae!

    Nipo mama karibu sana
  3. M

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

    Angalieni tarehe hiyo ya taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Je ni kweli hili suala?

    Jamani naombeni nianze moja kwa moja kwenye mada, maana kuna sehemu nilikuwa napata moja moto moja baridi sasa mwenzangu mmoja baada ya kukolewa na maji akatoa kauli hii "hapa ni kunywa na kukojoa ila heshimu nyege tu, maana bila nyege usingezaliwa wewe" JE KUNA UKWELI HAPA? Sent using Jamii...
  5. M

    Jukwaa maalum kwa wana meta secondary school

    Jamani karibuni nyote tukumbushane yale yote tuliyopitia meta secondary school, mi binafsi namkumbuka mwalimu MWANGOKA, MAHENGE NA JOB karibuni kwa visa na vituko. Post sent using JamiiForums mobile app
  6. M

    Pombe imenisababisha nifukuze ndugu wa mama mtoto wangu, nawaza jinsi ya kusolve tatizo

    Upo sahihi kunywa tena ili uwafikishie ujumbe vizuri. Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  7. M

    Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Sikutumia mkuu ndo maana nahaha hapa mpk basi.
  8. M

    Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Sasa nitaendaje kupima wkt nimeshasema dalili kuu ya kuwa na VVU ni kuogopa kupima.
  9. M

    Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Wanajukwaa kama kichwa kinavyosema hapo juu, hapo mwanzoni nilikuwa mpimaji VVU mzuri sana , sasa juzi juzi hapa nikampata mrembo fulani ambaye kwa kweli alinivutia sana mpk kupelekea kufikia tamati ya kuingiliana kimwili. Sasa kama wiki tatu zimepita nikamfumania anabugia dawa zetu zile na...
  10. M

    Ukitaka kujua wewe mwanaume una uwezo wa kuzalisha kabla hujaoa fanya haya

    1. Fanya mapenzi hata mara moja tu na msichana ambaye hakuvutii ila tamaa tu bila kutumia condom majibu utayapata muda si mrefu. 2. Fanya mapenzi na housegirl bila kutumia condom, utayapata majibu muda si mrefu. 3. Majibu utakayoyapata ndo ujue wewe una uwezo au la.
  11. M

    Kwanini wanawake/wasichana wenye mimba wanafanana kutembea?

    Swali kama lilivyo hapo juu bado huwa najiuliza ni kwa nini wanawake au wasichana wenye mimba ya kuanzia let say miezi sita kwenda juu, hufanana sana miondoko yao au ni wanaigana tu.
  12. M

    Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

    Nimeanza kwa hiyo heading kwa makusudi kabisa maana kumekuwa na eidha ulimbukeni ama kujitetea kwa baadhi ya watu hasa baada ya kuguswa kwenye sakata zima la madawa ya kulevya maana ni wengi sana wameshutumiwa kuhusu kughushi vyeti tokea enzi za msemakweli kainerugaba lakini sikusikia mt...
  13. M

    Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    Lea mama maana Sauti Soul waliimba huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani baadae labda atakuja kuwa Paul Makonda ataje wauza unga?
  14. M

    CHADEMA Iringa mfuatilieni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Mtwivila C

    Analazimisha mambo ambayo kimsingi hapaswi kuyafanya yeye kama yeye na pia wanamtuhumu kwa rushwa na uonevu sasa hizo ni dondoo fuatilieni mengine. Na la muhimu amekuwa akitengeneza migogoro kati ya majirani ili wagombane wkt huo yeye akiwa upande ambao atanufaika nyie fuatilieni.
  15. M

    CHADEMA Iringa mfuatilieni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Mtwivila C

    Kumekuwa na malalamiko ya chini chini kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji wa huyu mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa mtwivila viziwi au mtwivila C kama inavyojulikana kwenye daftari la wapiga kura. Sipendi umbeya maana nami nimeyasikia tu kwa watu. Naombeni uongozi wa CHADEMA sehemu husika...
  16. M

    Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

    Maana naona umaarufu wake huyu aziz ally ni kujenga misikiti tu.
  17. M

    Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

    Na ukute sasa mateso yote hayo wkt mimba sio yako. Kikubwa ni kupiga chini tu.
Back
Top Bottom