Search results

  1. L

    Hili linasikitisha sana na kufurahisha pia - Maisha Ya Harry Maguire

    🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA. By Lackson Tungaraza ♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza. Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati. Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
  2. L

    Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  3. L

    SoC01 Usilewe Likes na Comments: Simulizi inayoweza kubadili maisha yako kwa zaidi

    SIMULIZI INAYOWEZA KUBADILI MAISHA YAKO KWA ZAIDI YA 79% ▪"Kwa Kweli Mwenyezi Mungu hakukosea Kabisa Kuniumba. Tazama Uso Wangu unavyong'ara, Ngozi Nyororo, Jicho Zuri kuliko la Ray C, Kila Nguo inanikubali hata nikivaa Gunia na Dekio, hakuna kama Mimi hapa Mtaani na Kule Mtandaoni, Mwonekano...
  4. L

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nakuunga mono na mguu kabisa. Watu wa vyuon wana matumiz mabaya ya fedha na kudanganyana ya kwamba wakimalza watapata ajira za mishahara minono. Hahahaaaa. Kama unataman kujiajiri, fungua lacksontungaraza.blogspot.com
Back
Top Bottom