Search results

  1. M

    Natafuta Kiwanja

    Habari zenu ndugu, Natafuta kiwanja chenye hati maeneo ya Mivumoni.
  2. M

    Msaada please!

    Wana jamvi, nina kijana anataka kufanya Postgraduate Diploma ya IT, chuo gani wanatoa course hiyo?
  3. M

    Masaada please

    Naomba msaada, laptop yangu inakataa kuingiza umeme, nikiwasha umeme tu taa ya adapter inawaka kidogo then inazima na zoezi huwa linaishia hapo. nifanyeje?
  4. M

    Mtaalam wa kupinga (betting)

    Bibi mmoja alikua ana deposit pesa nyingi benki kiasi kwamba meneja wa benki aliamua kwenda kumtembelea maana alikua ni mmoja kati ya wateja waliokuwa na deposits kubwa, alipofika nyumbani kwa bibi akamweleza kuwa alikuja kumtembelea kwa sababu ni mteja wao mzuri na pia angependa kujua bibi...
  5. M

    Hapo ilikuaje kwani?

    Huyu baba alipata kichaa nafikiri
  6. M

    Pale gharama ya kupigia debe kinga inapotosha kumaliza chanzo cha tatizo

    Wana jf, kila nikisikia au kuona matangazo ya malaria haikubaliki kabisa, matangazo ya kuitaka kila familia ipate vyandarua kwa kujikinga na mbu waambukizao ugonjwa huo na semina na makongamano kwa ajili ya ku discuss issue hiyo napata shida kufikiria ni gharama kiasi gani iliyotumika na...
  7. M

    Enzi hizo, tumetoka mbali jamani

    Very happy, kupanda kwa bei ya petrol, kukatika kwa umeme, kupanda kwa bei ya vyakula, sijui maisha magumu, haviwahusu hata kidogo wanachojua asubuhi mkono utaenda kinywani, ikifika mchana mama atawapa msosi na jioni hawategemei kulala na njaa, maisha yenu magumu mtajua wenyewe.
  8. M

    Hodiiiiiiii

    Akhsanteni!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom