Search results

  1. J

    Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Hy ni dunia yako na mfumo ulichagua ulizaa na wanawake wasio jiheshimu na hy ndio matunda yake
  2. J

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Amesema jamii na wototo kwa ujumla unazani tunawajeng au tunabomo tusiweke ushindan watoto wanayazingatia hy makitu sn sio ww uliyekubuhuu
  3. J

    JamiiForums Usiku wa manane

    Karibuni
  4. J

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    Tumuombe Mungu atujalie na atuoneshe ipi ni dini yenye haki mimi nashukuru Mungu alinionyesha na mpk sasa nimebadili dini takribani miezi nane mimi pamoja na mke wangu wengi hatusome wala kujifunza dini za wengine tunasikiliziz maneno ya vijiweni kuwa normal ht km ww ni mkristo jaribu kutamni...
  5. J

    Akufaaye kwa dhiki ndio rafiki. Marekani Imewekeza Trilioni 11, Urusi Imewekeza nini Tanzania?

    Labda kwenye whitedent na bendera za rangi nyingi
  6. J

    Ulipo kuna umeme muda huu?

    Huku ndio umekataa tangu kumi na mbili
  7. J

    Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Baba hmn rangi tutaacha ona mzee mimi wangu nishazoeaa saiv mida ya usiku na asubuhii nikipiga simu nayoyahisi ni mulemule kuna namna napigwa tukio ila namvutia tu kasi naenda kuwa huru sasa baada ya utumwa wa muda mrefu ila ase tukatae ndoa wallah
  8. J

    JamiiForums Usiku wa manane

    Jamani usiku huu ni mzuri sana kama mtu unashida ukaamuwa kuweka simu yako pembeni walau Umuombe Mungu akutatulie jambo lako lolote unaloliona gumu Mungu atalifanyia wepesi jaribu utakuja kunishukuru
  9. J

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Kwanza jua hy mwanamke ni kabila gani maana kunamakabila kukaa na wanaume ni kipengele pili hy mwanamke mpaka anachika jua kunasababu wanaume hatuachagi bure pili unaonekana huwajui vizuri hawa wanawake angalia usije ukapoteza future yako mapema kisaa kukumbatia vitu vyenye migogoro amini...
  10. J

    Ushauri nataka kununua tv

    Kwa maoni ya wadau naona tcl ni the best
  11. J

    Ushauri nataka kununua tv

    Wakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
  12. J

    Nimehamia kwangu

    Mkuu umetumia ngapi mpka hapo
  13. J

    Nina ugonjwa wa akili wa kupenda wanawake sana, nisaidieni

    Ha ha ha Pole ase si mfupi flani hivi rangi maji ya kunde kwa mbali anatasamau flani hv ukiwanae si unaona ndio hy sasa kifuani sio habaa km ni hy njoo dm nikurushie picha zake
  14. J

    Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Umalaya ,ushoga ,utapeli, upo sahii mkuu umewaza mbali
Back
Top Bottom