Search results

  1. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Tumekuwa na Sheria kwamba binti wa like akipata mimba akiwa masomoni basi masomi yake huishia hapo,ni muda muafaka Sasa kwa Rais wetu mpendwa kufuta sheria hii kandamizi kwa mwanamke. Nawasilisha kwenu WanajamiiForums ili nipate maoni yenu Ahsante, naomba kuwasilisha.
  2. S

    Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

    Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya...
Back
Top Bottom