Search results

  1. S

    Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

    Tena swali lako inafaa liwe linaishi chooni
  2. S

    Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    Hongera Sana kwa andiko lakini limekuwa refu sana
  3. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Umetumia lugha Kali Sana mwishini mwa sentensi yako,sijaipenda!
  4. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Yawezekana baba yako alishakuwa shoga Kwanza ndo maana unajua maana ya ushoga
  5. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Yawezekana ukawa na chembechembe au ukawa shoga sijazungumzia ushoga hapa
  6. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Dalmine yawezekana ukawa na chembechembe za ushoga ukiona Jambo halikuhusu unakaa kimya, sijawahi kutongoza mwanaume mwenzangu.
  7. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Regent sijamaanisha hivyo,mtoto wa kike naye anahaki ya kupata elimu hili la kupata mimba wakiwa shuleni ni sawa na inzi kufia kwenye kidonda, ni nani ambaye anaweza kisema toka alivyoanza shule Hadi kufika kidato cha sita hajawahi kuchovya asali? Hiyo asali anaichovyea kwa wanafunzi wenzake au...
  8. S

    Dkt. Ndugulile umetuachia Vodacom kuwa kibanda umiza? Haya sasa makabwela acha tusage lami

    Kwanza ni Dr ndungulile Babu unaharibu majina ya watu, Pili ni kweli kwamba Vodacom wanaficha menu ya kujiunga na vifurushi hili nakuunga mkononi kabisa,menu Yao ili uipate ni mpaka usage meno muda mwingine unaweza ukaghairi ukajiunga kifurushi ambacho hukuhitaji kabisa,Vodacom jirekebisheni...
  9. S

    Rais Samia, muda umefika wa kurekebisha Sheria ya kijana wa kike kuendelea na masomo pindi akijifungua

    Tumekuwa na Sheria kwamba binti wa like akipata mimba akiwa masomoni basi masomi yake huishia hapo,ni muda muafaka Sasa kwa Rais wetu mpendwa kufuta sheria hii kandamizi kwa mwanamke. Nawasilisha kwenu WanajamiiForums ili nipate maoni yenu Ahsante, naomba kuwasilisha.
  10. S

    Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

    Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya...
Back
Top Bottom