Search results

  1. U

    Mhashimu Askofu mstaafu wa jimbo la Kahama, Hayati Mateo Shija azikwa leo

    Mhashimu askofu mstafu Hayati Mateo Shija alifariki dunia tarehe 09/07/1924 ghafra mjini kahama akiwana umri wa miaka 91 na kuzikwa tarehe 17/12/2015.Askofu Shija amehudumia kanisa akiwa kama askofu kwa miaka 17.marehemu atakumbukwa kwa kazi nzuri ya kuongeza idadi kubwa ya waumini jimboni...
  2. U

    Kishimba kuyatumbua majipu ya kahama?

    Mbunge wa kahama mjini ndugu Jumanne Kibela Kishimba,ameoneshwa kukerwa na ufujaji mkubwa wa mali za umma mjini hapa.akizungumzia suala la miradi hewa iliyoidhinishwa na nadiwani waliopita pamoja na mkurugenzi aliyehamishwa ndugu Kimario kwenye kikao cha madiwani,mbunge huyo alisema," nimekerwa...
  3. U

    Maeneo ya wazi Kahama yalivamiwa na wafanyabiashara

    Mji wa kahama una maeneo ya wazi ambayo yalitengwa kwa ajili ya matumizi ya jamii hapo baadae ikiwemo watoto kucheza,lakini kadri miaka inapozidi kwenda mbele,maeneo hayo yamekuwa yakivamiwa na watu wanaojiita matajiri.wananchi wamekuwa wakilalamika lakini hakuna kinachoendelea.mfano pale...
  4. U

    Tuliambiwa kahama ni manispaa,hivi ni kweli au ilikuwa propaganda za kisiasa.

    Nimeshuhudia viongozi mbalimbali wakijinadi juu ya majukwaa wakidai kuwa wamepambana vya kutosha mpaka mji wa kahama ukapandishwa hadhi na kuwa manispaa baada ya mji huo kukidhi sifa zote za kuwa manispaa huku wagombea hao wakijinasibu kuufanikisha mji huo kuwa na hadhi ya kimataifa.ila...
  5. U

    Hatimaye Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ahamishwa

    huyu jamaa arudi home kahama,huku kuna kilimo cha mpunga.
  6. U

    Magufuli njoo Kahama kuna majipu uyatumbue

    Halimashauri ya mji wa kahama, imekuwa ikihujumiwa miradi mbalimbali na watumishi wa sekta za umma wakiwemo madiwani.zaidi ya milioni mia nane zimepoorwa kwa kupitisha miradi hewa.hivyo tunaomba raisi afanye juu chini awashughurikie baadhi watendaji akiwemo mkurugenzi Kimario aliyehamishiwa mkoa...
  7. U

    Mkuu wa mkoa wa shinyanga ameahidi ujenzi wa uwanja wa ndege kahama.

    Mji wa kahama ni mji wa kibiashara wenye muingiliano mkubwa wa watu wengi wafanyabiashara kutoka Mikoa ya Geita,Katavi,Tabora,Mwanza,na nchi jirani za Kongo,Rwanda,Burundi,na Uganda...hivyo kutokana na sababu hiyo na zingine kama kukua kwa kasi mji huo,mkuu wa mkoa leo hii ametamka katika...
  8. U

    Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    si vema kutaja majina
  9. U

    Hivi ni kweli watahiniwa binafsi husahishwa vibaya?

    Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya Private Candindates kwamba,baraza la mtihani necta wamekuwa wakiwasahihisha vibaya eti kwa sababu walichezea muda wao wakiwa shule hasahasa wale malista.mfano PC hata kama atapiga" A"NECTA hawawezi kumpa hiyo "A"watamkadilia marks?je ni kweli?naombeni msaada...
  10. U

    Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Kuna baadhi ya makada ndani ya chama cha mapinduzi waliozoea kukwepa kodi kwa mgongo wa chama waanza kulalamika kwenye vyombo vya habari wakimlaumu raisi kwa hatua anazochukua pia hofu yatanda kwa CCM kuitisha kikao cha ghafla wanahisi ni kwenda kumjadili raisi. Je nyie wadau mnasemaje kwa hili?
Back
Top Bottom