Search results

  1. motonkafu

    Waandishi Wa Habari Za Michezo Kuweni Wazalendo

    Nimesikiliza na kusoma habari nyingi za michezo hasa baada ya Taifa Stars kuikosakosa Algeria kule kaskazini, kilichonikera ni jinsi watu wanavoandika na kukomenti vibaya kuhusu timu yetu ya taifa azi ifu wao ni waarabu wa Algeria. Nikajiuliza kama wabongo wenye timu wanakomenti pumba izi, je...
  2. motonkafu

    Wanawake achen tabia hii

    Kamezuka katabia kabaya sana kuhusu hawa dada zangu, mtu mmekubaliana vizuri mmechenjuana vichupi ile unamsogeza kante kwenye sita unasikia 'ngoja nikakojoe'. Mi namaindi sana sema tu basi nawasamehe kwa sababu ya nyege lakini sasa nimewachoka. Ukinambia ukakojoe kwanza utakuta nimevaa suruali...
  3. motonkafu

    Utafiti: Wamama vs Mabinti

    Nimekua nafanya aka kautafiti yapata miaka 10 nimejaribu kutumbukia kwenye mashimo tofauti tofauti ya wamama na mabinti vigori kama wale ambao jamhuri inatukataza kuwasogelea. Nilichogundua ni kwamba mara nyingi ninapokutana na wamama nakuwa mbabe wa show, kwani muhogo wangu unabana kwenye kuta...
  4. motonkafu

    Nimekesha kuangalia vichupi vya marathon, hongereni zbc2

    Kwa kweli haya mashindano ni mazuri sana wadada wakali, shepu za kimiss ndani ya vichupi wakicheza michezo mbalimbali safi sana mmefanya wikend yangu iwe tamu mpaka sasa aangalia marudio wakati nasubiri simba day, uchaguz kenya cjawa interested sana coz hawa jamaa hawachelewi kuchenjiana Sent...
  5. motonkafu

    Nimekula Tigo Bila Kujua: Ushuhuda Wa Jamaa

    Nna msela wangu mwanangu wa dam mabest kinyama toka uboyzin enzi izo sekondari, jana kanipa mchongo katika pitapita zake kamtoroka wife kazama bar kaopoa jike. Anasema katika kutulia kwake kaagiza soda saa sita mchana kabla ya saa za magufuli za kunywa bia hazijatimu, apoze stress za shemeji...
  6. motonkafu

    Being a teacher And What You Have To Do

    Artistically, teaching is a job of laughing with children, playing with pupils, and arguing with students. One can ask; 'playing with children??? What if your class has also old people? I can answer that students learn like children, then if you want to be a teacher prepare your mind to face...
  7. motonkafu

    Sababu kwa nini wasichana wanaopata mimba wasifukuzwe shule

    Sasa pamezuka ubishi.. Paleee kijiweni kwetu tunapokunywa kahawa. Watu wamebishana weee mi nkaomba breki nkaja kuandika huu uzi. Akaongea mdogo wake fataki bwana ' mnajua kuwafukuza shule watoto wanaopata mimba ni hasara?' Nkamuuliza 'hasara ya nani?' Kanijibu bwana 'hasara ya jamii na taifa...
  8. motonkafu

    Mwalimu wa Upe; 'Tuikomboe Elimu Yetu'

    Mwalimu wangu ameniita leo, ameniambia anataka tuzungumze mawili matatu kuhusu mustakabali wa elimu yetu. Hivi najiuliza sijui niende ama nisiende manaake sijui huyu mzee na elimu yake ya UPE ataniambia nini, 'anyway ngoja nikamsikilize wakati mwingine hawa wazee wetu hata wasipoongea 'logic'...
  9. motonkafu

    Gari la familia

    Kuna sherehe nyumbani kwa kaka na nimeitwa japokuwa sina tabia ya kufurahi hovyo hovyo nimeamua kwenda ili nimuunge mkono ndugu yangu na niweze kujua mwenzangu amefurahia nini. Nimefika kwa braza naona shemeji amefurahi sana, watoto wanarukaruka, sherehe yaanza. Lakini kabla sijauliza hawa...
  10. motonkafu

    Ukweli ndo huu: Kama mimba ni kero, wekeni vijiti

    Kama Mimba ni Kero, Wekeni Vijiti Nimeamka na hasira leo baada ya www.bbcswahii. com katika kipindi chao cha Amka na BBC asubui ya leo tarehe 28/06/2016 kutangaza kuwa vitendo vya utoaji mimba vimekithiri nchini Tanzania ambapo inakadiriwa wanawake na wasichana zaidi ya laki nne wanatoa mimba...
  11. motonkafu

    'Life began to be hard when people began to complicate about it

    'Life began to be hard when people began to complicate about it'. Find a man in street, he has not eaten a lunch, ask him why he will tell you 'i have nothing, life is tough'. The source of street children is not poverty or parents' dealth but the presence of streets. What brought beggars is...
  12. motonkafu

    Watangazaji hawa ni wakupongezwa

    Kwanza ni huyu kijana anayeendesha kisa na mkasa pale eatv, sijashika jina lake, anatafuta watu waliogombana wakanuniana miaka anawapatanisha. Pongezi za pekee kwake huu ndo ubunifu unaojenga jamii. Mwingine huyu wa clouz hook up kwenye kipindi cha diva japo amebase kwenye mapenzi apongezwe...
  13. motonkafu

    Haya matangazo ya gugo yamezidi kwenye simu yangu

    Naomba msaada anaejua namna ya kustopisha haya matangazo kozi ni shida mtu uko jf unachat mara 'install battery saver' hujakaa facebook limeziba screen nzima ni kero sasa. Ebu anaejua add broka nzuri anijulishe pia coz nyingi ni mizengwe tu.
  14. motonkafu

    Mratibu huyu anakiuka agizo la rais

    Ikumbukwe waraka wa elimu bure ulikuja na agizo la rais akikataza michango yote ya elimu, na kweli January 2016 michango ikafutwa na waliochangishwa baada ya hapo wakatumbuliwa immediately. Sasa leo huyu mratibu anatembea na fomu maofisini akiwataka walimu wachangie madawati. Kwa mujibu wake...
  15. motonkafu

    Wanajiita wa Kimataifa

    Wanajiita wa kimataifa, wanajiandaa na mechi za kimataifa hawajui kumbe trick hio inawagharim wao wenyewe. 1. Kukaa mada mrefu bila kucheza kuna hatari wachezaji kuongezeka kilo ndo kinachotokea leo Ngoma anashindwa ata kuruka vichwa. 2. Kukaa mda mrefu bila kucheza kuna hatari ya wachezaji...
  16. motonkafu

    Stand United na kocha wenu mnatia aibu

    Hata kama mashabiki hawakumpenda huyu jamaa licha ya mafanikio makubwa alioipa stand kwani moja ya timu ambazo zipo kwenye nafasi nzuri tu ya msimamo wa VPL ila muonekano wa king cha wenu hauvutii ilo shati jeupe kila mechi namuona nalo, suruali haimpi heshima Leo buti lake limesogezwa kwenye...
  17. motonkafu

    Jiandaeni kumwona Samata live hapo saa 1 usiku

    Timu yake inacheza leo saa 1 dk 55 usiku mechi itarushwa live na Fox sports kwa wake wa kingamuzi cha azam
  18. motonkafu

    Any Developing Country Can Do The following to Develop Faster

    1. Linking rural areas and towns with tarmac road to enable the flow of raw materials from production areas to consumers. 2. Provide electricity power in all villages to where economic productive activities are largely done. 3. Build industries in production areas to enable fast processing of...
  19. motonkafu

    Magufuli shughulikia haya kwenye elimu

    1. Rudisha somo la kilimo(agriculture) kwenye level zote kwa sababu ndo uti wa mgongo. Mnafundisha kilimo chuon wakati wanaolima ni form four leavers na standard seven. 2. Somo la uchumi(agriculture) liwe compusory kwenye level zote kwa sababu tuna uchumi mbovu kila mtu anatakiwa kujifunza how...
Back
Top Bottom