Search results

  1. K

    Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    tutajie hata kumi za kwanza na za mwisho pamoja na hali ya ufaulu ya ujumla kwani bado hayafunguki
  2. K

    Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    watulie na busara zitawale, wanaweza kupatana kuliko hii ya kukutana a waandishi wa habari, kwa busara yangu nadhani hivi vyama viwili viwe neutral ili angalau chama cha tatu kwa maana ya NCCR kiwasaidie kuteua mgombea kati ya hao wawili ambaye ana uwezekano wa kushinda na kusaidia nia kuu ya ukawa.
  3. K

    Mke wangu amekiri kunisaliti

    fuata moyo wako mkuu, sehemu ya uzima wako anayo yeye, hivyo kama tayari ushaanza kupata mabaya ambayo yanaweza kupatikana kutokana na kukosekana kwa uaminifu ni bora ukafanya lililo sahihi kwa busara na moyo wako.
  4. K

    Jaji Agustino Ramadhani, hiyo ndio CCM

    alitumia vizuri haki yake ya ki-katiba. Rais ni mmoja tu, hivyo hata kujionesha ilikuwa muhimu. Naikumbuka sana kauli ya Napoleon kuwa (literally) "dunia inaumizwa sana si na watu waovu bali na ukimya wa watu wema"!
  5. K

    ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

    hapa mtoa mada alitaka kulinganisha hotuba hizo tatu na kwa kweli amelinganisha vizuri, Migiro alijieleza vema kuliko wote; ingawa kweli hotuba si sawa na utendaji
  6. K

    Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Atabaki rais wa mawe na madaraja pamoja na magofu nchi nzima. Vinginevyo akayafute kabisa
  7. K

    Kijana kutoka Msumbiji auawa kwa kuchomwa visu hadharani Afrika Kusini

    stop xenophobia! OOh SA, Most countries even suffered for you guys! Wish tata Madiba a peaciful rest by doing what he would think as fair to his fellow Africans
  8. K

    Ni kujiamini tu

    watoto ni malaika; hawajui baya hatari na raha, wnaweza kufanya mzaha hata kwenye hatari; Mungu tu anawalinda na kutia huruma ktk wale ambao wangewatesa na badala yake wakawaokoa ama kuwaonea huruma
  9. K

    Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

    watu kama hawa ndo wanafanya siasa kweli kuonekana mchezo mchafu
  10. K

    Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    mbona unawaita mbwa mkuu? hao hata kama kweli wameshiriki, bado ni binadamu, vinginevyo viumbe wote wanaofanana aina hiyo unatuambia wanaitwa mbwa!
  11. K

    Mkuu wa Wilaya Ya Chato

    chato kumekucha, huwezi kuzuia mvua kunyesha, maeneo yote hali si nzuri kwa ccm, kuanzia Muganza, Kibehe, Chato mpaka Buseresere, na hata Katoro CDM na ukawa wamefanya vizuri
  12. K

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    hata mie wadogo zangu waliniletea bila hata ya kuwatuma cheti cha kuzaliwa wanangu.
  13. K

    Ni nguvu ya UKAWA sio CHADEMA

    hahaha! said michael, aisee ni sheedar kweli mkuu! wakati mwingine tujifunze kukili kama mziki uchezwao kasi yake inapita mazoezi yako ili uwaachie wengine wacheze. big up!
  14. K

    UKAWA yaimarika nchini

    huwezi kuona kwa vile una miwani ya mbao, nalo pia umesahau!
  15. K

    UKAWA wamemwaga mboga rais Kikwete asimwage ugali hakuna cha kupoteza

    mambo yanaweza yakazidi kuwa mabaya zaidi upande huo ambako mzani huu uananza kuegemea, kiasi kwamba hata hiyo coalition govt yaweza kuwa majaliwa! vijijini mambo ni zaidi ya matokea haya; hata CCM walioshinda sehemu nyingi ni kwa margin ndogo sana.
  16. K

    Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

    Kwa hili hata ukiwa na mpezi mmoja kutegemea na jinsi mnavyotumiana. kama unatumia mara tatu kwa siku, kwa wiki nzima na kwa mwaka wote; unaweza ukaona ilivyo namba kubwa zaidi ya hata huyo anayevamia leo huyu kesho yule na keshokutwa akose pengine na hata wiki nzima asipate
  17. K

    January Makamba: Waliochota fedha za ESCROW wabanwe zaidi

    sikusikia mchango wake juu ya hili akiwa bunge lililomalizika punde; haya hayana maana sana kwa sasa kuyasikia kwa mtu ambaye anajipambanua kuwa miongozi wa wenye ndoto za urais.
  18. K

    Wafumaniana na kubadilishana wake zao

    watakuwa dotcom youth abao hata maana ya mke hawajui; ama basi wanaojali tu maslahi yao bila kuzingatia wangapi wanaumizwa na maamuzi yao; hivi hata walifikiria watafanyaje juu ya watoto kama wanao au watawasimuliaje kama hawajapata watoto?
  19. K

    Box na kipande chake cha Condom kimesimamisha shughuli za maandalizi ya Harusi

    kama anaficha ukweli basi bado ana mpango na huyo waliyetumia naye hiyo rubber
Back
Top Bottom