Search results

  1. 7spirits

    Jeshi la Polisi Arusha tumieni mbwa kukagua mabasi badala ya askari kupita wananusa mizigo kwenye buti za basi

    Amani kwenu Great Thinkers. Nimeshangazwa katika pitapita zangu huko mikoa ya Kaskazini kuona aina mpya ya kukagua mizigo hatarishi (pengine dawa za kulevya) ambapo askari polisi katika eneo la kituo cha Polisi Minjingu Babati wamekuwa wakikagua mabasi kwenye eneo la mizigo kwa "KUNUSA" mizigo...
  2. 7spirits

    HOTEL MAARUFU KIRUMBA VALLEY BADILIKENI.

    Siwataji kwa jina ila kwa muktadha tajwa hapa nafikiri mnajijua. Kwenu siku hizi hata sabuni za kuogea ni shida, achilia mbali kuweka hata kanda mbili za kuogea, taulo na karatasi laini za chooni. Chakula inabidi mteja aje hotelini amekula kabisa huko atokako na akitegemea hapo kwenu basi...
  3. 7spirits

    Nafasi ya kazi

    Fursa kwa wenye sifa, ni kazi za makanisani kwa aliye na ndugu anaweza kumshirikisha au hata kama yeye ana sifa aombe.
Back
Top Bottom