Search results

  1. Mtanzania1

    Dr. Slaa ahojiwa kwa masaa sita (6) Central Police...

    ..........Mheshimiwa,.....umenda mbali sana...mambo ya wanasiasa huwa yanakuwa na utata sana....ungekuwa na subira......ungejitendea haki
  2. Mtanzania1

    The New Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), Board of Directors profiles

    .......Sidhani kama kazi ya uongozi wa bodi inahitaji wanazuoni wenye mashahada makubwa kiasi hiki....kwa mawazo yangu ninadhani pamoja na uanazuoni bado inahitaji watu wenye uzoefu mkubwa katika uongozi wa uendeshaji.....kazi ya bodi ni kuweka/kuhakikisha sera zinafanya kazi.. na si kufanya...
  3. Mtanzania1

    Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

    .....Ninawaza sana.....sijui kazi ya mbunge ni nini.....sidhani kama ukiwa na uwezo wa kuongea/kuimba mbele ya watu...uwe maarufu......basi unafaa mbunge. Ninadhani kuna ya zaidi ya hayo.......mengi tu.....yatakayotufanya tujadili mustakabali wa taifa letu.....kwa hoja.....na si kwa kutumia...
  4. Mtanzania1

    Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

    .... Ngoja nijaribu bahati yangu...... nitaweka rangi nyeusi kwenye nywele zangu kuondoa mvi ili nionekane kijana..... nitabadili jina mahakamani .... nitaitwa John Mohamed kama mtabiri anavyoelekeza...... nitamuoa Faizafoxy kwa makubaliano ya kusaka urais tu....... kamwe sitafanya kampeni...
  5. Mtanzania1

    Kujiuzulu kwa Werema kwapokewa kwa hisia tofauti

    ..........tutaona na kusikia mengi ya ajabu.........tusubiri
  6. Mtanzania1

    Ludewa: Waziri Pindi Chana aichangia elfu 15 Shule iliyoezuliwa kwa Upepo

    .....Mheshimiwa mkachu.....nadhani si busara kumhukumu mtu kutokana na ukabila .....ujirani... au aina yoyote ya mahusiano ya kiajali......huku ni kutowatendea wahusika.... na kutojitendea haki wenyewe..... ni ubaguzi.....ni mawazo yangu tu
  7. Mtanzania1

    Ludewa: Waziri Pindi Chana aichangia elfu 15 Shule iliyoezuliwa kwa Upepo

    ........kwa mawazo yangu...huu utamaduni wa kujitolea kupita kiasi kutoka kwenye vyazo binafsi vya fedha si wa kuuenzi......nawaza mbunge/diwani anapojitolea kusaidia milioni 15...huku tukijua vipato vyao......hatuoni huu ni muendelezo wa kuchochea vitendo vya kudai/kupokea rushwa kupitia nafasi...
  8. Mtanzania1

    CUF: Tunalaani fitina za kuigawa UKAWA zinazofanywa na wana UKAWA

    .......kunapokuwa na migongano ndani ya ndoa......mume na mke wenye nia ya dhati ya kulinda ndoa yao.....hujifungia chumbani na kujaribu kurekebisha tofauti zao......ndiyo busara.....na si kutangaza tofauti zao hadharani........
  9. Mtanzania1

    Harbinder Singh Sethi: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa

    Mheshimiwa mkachu..... Samahani sana kama unawajua kina Seth... je unajua chanzo cha Ruaha Concrete Contractors kufa/kufilisiwa/kufungwa??... Maana sisi tulizisikia tetesi tu.....wakati ule....kwa vile unawajua... natumai hata zile tetesi unazijua..... utujuze tafadhali....ni ombi tu
  10. Mtanzania1

    Madawa ya kienyeji yana athari yoyote katika afya ya uzazi?

    Mheshiwa Mphamvu, Bado naona kama tunachanganya mambo.....nadhani kwa mawazo yangu... ni vigumu sana kutoa tiba kama haujui hasa tatizo ni nini.....kutoa dawa ni sehemu ya mwisho kabisa ya matibabu baada ya kujua ugonjwa/tatizo lenyewe. Kwa mfano kuumwa kwa tumbo hakusababishwi na jambo moja...
  11. Mtanzania1

    Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

    Mheshimiwa MJITA HALISI 176........Samahani hii ilikuwa Alhamisi ipi hasa? :tonguez:
  12. Mtanzania1

    Madawa ya kienyeji yana athari yoyote katika afya ya uzazi?

    Mheshimiwa Mphamvu, Natanguliza heshima, Mimi binafsi napata shida kidogo kuelewa hasa tunapozungumzia madawa ya kienyeji/asili na madawa ya viwanda....... Kwa uelewa wangu neno dawa maana yake ni kemikali ya aina fulani kwa matumizi/matibabu ya tatizo fulani...... dawa ya kifua....dawa ya...
  13. Mtanzania1

    Magufuli: Tutajenga flyover Salender Bridge

    .....Ninawaza.....matatizo ya foleni katika mji wa Dar es Salaam hayawezi kutatuliwa kwa kuboreshwa miundo mbinu ya barabara kama wengi wetu tunavyofikiri.....Hatufanyi utafiti wa kutosha...hatuna takwimu za kuaminika.... Tunajua kuna magari mangapi katika jiji letu??... Tunajua ongezeko la...
  14. Mtanzania1

    Zambian President, Michael Sata dies in London

    Mzee Guy Scott. Atachukua nafasi yake kutokana na katiba yao.............Atakuwa mzungu wa kwanza kuwa rais kidemokrasia katika nchi yenye weusi wengi............ https://www.zambianwatchdog.com/scott-to-take-over-as-president/
  15. Mtanzania1

    John Shibuda kuanzisha chama chake cha siasa au kuhamia TADEA

    ....haya ni maajabu ya dunia chama cha siasa kuuzwa kama kampuni.....walikithaminisha vipi??........kuna mahali niliwahi kusoma humu ndani......kuna vitu vinafanyika "only in Tanzania''
  16. Mtanzania1

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    ......Naombea kama kungekuwa na uthibitisho wa kisayansi/kihisabati ni rais gani tunamuhitaji watanzania ingekuwa raha sana.............ndiyo tabu ya siasa.........mwenye sauti ndio husikilizwa......hasa akiwa na kundi kubwa inalo muunga mkono....hata kama hana hoja za maana sana...... Ni mawazo...
  17. Mtanzania1

    Kwaheri Meja Generali Msemwa

    ......Taratibu utu wetu unaanza kupotea......Desturi yetu ni kuheshimu marehemu......hasa kwa kukumbuka mazuri aliyoyafanya wakati wa uhai wake kwa jamii.........hata aliyehukumiwa kifo huzikwa kwa heshima...hatupwi mwituni aliwe na wanyama...au atupwe jalalani....Itikadi za vyama si uadui...ni...
  18. Mtanzania1

    Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

    ......Kwa mawazo yangu...siasa za aina hii si wakati wake huu.....tujaribu kubalika kidogo......Kwa mawazo yangu
  19. Mtanzania1

    Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

    ew Nooo! wale ni NCC ni wascandinavia
  20. Mtanzania1

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    Mheshimiwa....unachokisema ni sahihi kabisa......lakini ndiyo mfumo wetu tuliojiwekea.....siasa mbele kisha taaluma ndiyo inafuata......hatujui wapi inaishia mipaka ya siasa..... mawaziri wapo katika wizara ili kama kuna jambo bora limefanyika basi apongezwe na kama kuna tatizo basi tupate mtu...
Back
Top Bottom