Acheni kumshambulia kijana wetu, syllabus zetu nyingi kuanzia elimu ya awali mpaka juu niza ku-copy na ku-paste kutoka kwa wazungu sasa mnatarajia wazungu wataongelea unpaved roads wakati kwao hazipo zimebaki za kufanyia car racing tu? Elimu yetu bado ina mapungufu sana vijana wanahitimu shahada...
Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina gani ya maswali wanayotoa mana hakuna notes wala lecture yoyote wanayotoa kuelekea mtihani huu.
Matoke yameshatoka na mtihani ni tarehe 10 July, mi mwenyewe ni mchaguliwa wa kufanya huo mtihani ila sijui lolote kuhusu maswali nitakayokutana nayo hiyo j3. Pliz msaada kwa Kama una idea na huu mtihani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.