Search results

  1. Licence to Kill

    Katika kuelekea kujivua gamba hali ya hewa ndani ya CCM SI SHWARI

    word. nakugongea na thanks kabisa.
  2. Licence to Kill

    Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

    Mshamba tu wewe, wenzio wameshazalisha halafu wewe unachukuwa scraper, hebu ngoja nihame jukwaa huku ni kichefu kichefu tu.
  3. Licence to Kill

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    wewe ulieamka mbona uko hapa hapa wakati nchi hii inaibiwa kila kukicha na akina Mkwere & co? akili zako ndogo ndio zinakusumbuwa, unao uhuru wa kutoamini, lakini usiladhimishe watu waamini kile unachoami wewe. mfano kama wewe unaona kuingiliwa kinyume na maumbile nisafi, unataka kutulazimisha...
  4. Licence to Kill

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    kwani hapa mnamzungumzia Maggid yupi? ni yule mwenyewe watoto wazungu wakati yeye ni mweusi kama mjaluo! au ni Maggid yupi huyo? kama ni yule ninaemjuwa mimi mbona akili zake alishazifungia stoo tangu kipindi cha kampeni? sitegemei jipya kutoka kwa mtu huyu.
  5. Licence to Kill

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kwahiyo haya ndio mafundisho ya marehemu mtume Muhamad SAW?
  6. Licence to Kill

    Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM

    Kijana inaonekana unatafuta basha humu JF? maana kila mtu unamshushia matusi usidhani watu wasochangia hawaoni, sisi wengine kila siku tupo humu JF lakini sio lazima uchangie huwa tunasoma michango ya wenzetu halafu tunaendela na safari zetu, nidhamu ndogo unayoionesha humu inaonekana ni athari...
  7. Licence to Kill

    Msimamo wa Jeshi la Polisi kufuatia mauaji ya Raia Arusha

    Haya ndio madhara ya kuingiliwa kinyume na maumbile tangu ukiwa mdogo, kwa hiyo hakuna namna ya kukusaidia.
  8. Licence to Kill

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    Jamani kuna mtindo humu umezuka ukimkosoa mtu ambaye ana kaumaarufu fulani unaonekana una chuki binafsi, sasa nawaomba wote tusome tena upya mstari baada ya mstari wa thread hii ya Majjid, mimi nimeshindwa kuelewa hicho alichokiita hotuba ya kihistoria ni kipi? au baada ya kupunjwa posho zenu...
  9. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Kwa hiyo mkuu waberoya huyu bwana kuuita mwili wa hayati baba wa taifa ni MZOGA kwako wewe ndio vigenzo kwamba huyu ndio mwanasiasa kwelikweli, basi kazi ipo.
  10. Licence to Kill

    Boney M frontman Bobby Farrell dies at 61

    Sasa mkuu hizi video zote zinapatikana youtube sioni sababu yoyote ya msingi ya kutujazia ukarasa hapa. kama nia yako ni kuelimisha kwa wale wasiowaelewa tafadhali toa link na video moja inatosha. na wewe jifunze kucoment kutoka kichwani mwako, na sio copy and paste.
  11. Licence to Kill

    Boney M frontman Bobby Farrell dies at 61

    Teja la unga hili zee ndio kilichomuuwa, kumbuka Holland kila kitu kilichoharamishwa hapa duniani pale ni ruksa, ndio maana wavuta bangi wote na mateja kama huyu mzee Amsterdam ndio dream city yao. period.
  12. Licence to Kill

    CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

    Hapo kwenye RED unaonaje kama tukimfanya huyo ndugu kuwa rais wa dunia, mimi naona Tanzania ndogo sana na sio hadhi yake, maana naamini huyu bwana ana akili kuliko kiumbe yeyote dunia hii, hivyo basi nashauri awe rais wa dunia.
  13. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Tatizo lako mkuu Spencer unashindwa kusoma alama za nyakati na umeshindwa kuread between the line, mimi si wa hivyo, na siwezi kuwa mtu wa hovyohovyo, na najuwa namna ya kufikiri vizuri.
  14. Licence to Kill

    Jamani mbona rais wangu hakuongelea suala la Dowans?

    Ulikuwa huna kazi ya kufanya au ulikuwa umepigika kiasi hata ngawila za kwenda kwenye social enjoeyment ikakupiga chenga, hivi ni nani mwenye akili timamu akae kwenye runinga kutegemea kwamba mkwere atakuja na jambo jipya au la maana? kama unaishi Dar karibu hapa Club san siro tugawane umaskini...
  15. Licence to Kill

    HOJA KATIBA MPYA: Mwanasheria Mkuu Zanzibar ampinga Werema

    Nikisema nikujibu kwa ufasaha ulichoandika hapa nina uhakika utasema nimekutukana au nimekuzaririsha, wacha tu nipite niangalie thread za watu wengine, maana shida kubwa hapa hatujuwani umri wala kiwango cha elimu.
  16. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Uko sahihi kabisa hata Rostam Aziz ameajili watanzania wenzetu wengi sana kwahiyo tumthamini mana tukimtia lupango watanzania wenzetu watateseka, verry good.
  17. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Mkuu spencer, pamoja kwamba mimi sipendi wala kukubaliana na Dar es salaam katia mlengo wake, ila kwenye hili tumtendee haki, alichopost ndio ukweli wenyewe,uwezi kumuita mtu fisadi halafu wewe huyohuyo unatokea mlango wa nyuma unakwenda kuchukuwa pesa kwa mtu huyo huyo, hapana siwezi kumsapoti...
  18. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Siasa zake amehamishia ukumbi wa habari maelezo na mahakamani, in simple way you can say Mtikila is no longer exsist. mbaya zaidi alichukuwa sh million 10 kwa rostam Aziz, na rostam akathibitisha mbele ya media petty cash vocha aliyosaini Mtikila. amepoteza public sypathy,
  19. Licence to Kill

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    Nenda kanisani kwake mikocheni au nenda nyumbani kwake flat za Tanzania breweries pale shule ya uhuru utampata.
  20. Licence to Kill

    Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa?

    Mimi kwa maoni yangu nasema bado watanzania wana maisha matamu sana ndio maana wengi wao vichwa ni konokono, humu wengine wanaochangia michango ya kubeza maendeleo msidhani wote wametumwa na ccm, hapana, wengi wao hata hayo makazi wanakaa kwa shemeji zao, waliowaolea dada zao, unakuta mtu...
Back
Top Bottom