Search results

  1. lumia21

    Msaada Juu ya Kilimo Cha Bilinganya

    Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu.... Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban kwangu na zimekubali vizuri, ila nimepanda kama tano tu za majarbio.. Sasa nafikiria kulima Bilinganya...
  2. lumia21

    Msaada juu ya kilimo Cha Bilinganya

    Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya... Ningependa juzwa ni mda gani mzuri wa kulima zao hili kwa upande wa soko. (hasa la Dar maana niko kilosa)
  3. lumia21

    Msaada juu ya kilimo Cha Bilinganya

    Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya... Ningependa juzwa ni mda gani mzuri wa kulima zao hili kwa upande wa soko. (hasa la Dar maana niko kilosa)
  4. lumia21

    Huu ndio utapeli wa Walebanoni

    Napenda kuwapa angalizo wafanyabishara hasa wanaofanya biashara mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa. Kuna kundi la matapeli katika kata ya Rudewa.. Huku wanajulikana kama walebanoni Hawa jamaa wanatapeli watu nje nje.. Na wanakula na polisi.. So angalizo kwa wafanya biashara huku mie...
  5. lumia21

    Wapenzi wa Tamthilia ya Shameless

    Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma Debbie, Carly ni noma Kwa wadau ambao ni wapenz wa hii tamthilia karbu Share nasi nan una mkubali sana kwa hii tamthilia..
  6. lumia21

    Biashara ya matunda mchanganyiko (fruits salad) Tabora

    Kama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali. Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora Kwa wakazi wa Tabora naomben mnipe experience yenu na mji wa Tabora vip nitafanikiwa!?? Koz sio mwenyeji ki hvyo kama kuna...
  7. lumia21

    NI MKOA GANI!??

    Mara baada ya kufutwa ajira za walimu wa arts, Kuna dungu yangu anauliz je ni mkoa gani ni mzuri kwa kijana ane anza maisha hasa anae anza kwa kufanya biashara ndogo ndogo.. Tupia wazo hapa nimsaidie!! Mie nimemwambia Morogoro.
  8. lumia21

    Drama Mpya Mjini

    Tamthiliya mpya kuhusu maisha ya wanavyuo inakuja kuanzia.. september mosi Baada ya kutoka kwenye harakati za UKUTA watch this drama hauta jutia.. Ila leo ni Interview about It, TV 1 Uskose angalia..
  9. lumia21

    ERA Teacher's college

    ERA Teachers' College Je., wewe ni mtanzania mwenye kuhitaji kujiendeleza kimasomo na kuweza kuwa miongoni mwa watu wenye kujihakikishia nafasi ya ajira?? Courses zitolewazo ni, Ordinary diploma in primary education (inservice na pre services) Kama jibu lako ndiyo bhasi jua hujachelewa, fika...
Back
Top Bottom