Search results

  1. M

    Agizo la wafanyakazi wa Serikali kutosafiri laimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola

    Sijaona mabadiliko yoyote thamani ya shilingi naona haijapanda sasa sijui huyu mkuu kutumia kigezo gani kusema thamani ya shilingi imepanda.
  2. M

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    huwezi kufanya tathimini ndani ya mwezi mmoja halafu ukagawa misifa ili hali bado miezi 59 ya utawala wake.
  3. M

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Kutamka kuwa mbaguzi bila vielelezo ni umbea tu
  4. M

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Daaaa, mimi ninasubiri baada ya mwaka mmoja ndio nitatoa tathimini yangu, ni mapema sana kwa sasa
  5. M

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Tusubiri kuona watafanya nini chini ya usimamizi wa JPM
Back
Top Bottom