Search results

  1. S

    Kwa wanaume wa Dar

    Tuacheni tule bata kila mtu anaishi kulingana na mazingira yake yanavyoruhusu
  2. S

    Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

    Je na kama usingekutana naye kwenye daradara angeshindwa kujilipia nauli? Au aliota kuwa atakutana na wewe? Kila mtu anaishi kwa bajeti yake na pengine bajeti ndyo inayokamilisha ratiba za mtu hivyo hukuwa na kosa lolote waache hao wasioishi kwa bajeti walalamike
  3. S

    Vyama vya siasa vya upinzani lipigieni kelele suala la kusitishwa ajira serikalini

    Bado endeleen kuisoma namba si mmeipenda wenyewe hayo ni matunda yake na matunda ya kufuata mkumbo na mpaka mnyooke mwaka huu
  4. S

    Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Wewe utabakia hivyo hivyo na mawazo yako yenye kila dalili ya kutawaliwa kifikra kumbe tz watu km wewe ndyo mnaifanya nchi yetu isisonge mbele
  5. S

    Tundu Lissu hajulikani alipo, Dar hajafika, Jana walilala Dodoma

    Itajulikana tu kama yupo dar au dodoma ngoja tuendelee kusubiria
  6. S

    Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Sasa lisu anakosa gani na wakati kafanya mkutano jimboni kwake
  7. S

    Madhara ya ulaji wa chips

    Hahahahahahahahaha
  8. S

    Kila nikikatiza facebook lazima nione post yako, halafu eti unataka ndoa

    Wape ukweli wao hao wamezidi sana washaona sifa kufanya hivyo
  9. S

    Mke wangu ananikera na hii tabia ya kutokupenda kuvaa nguo

    Hahahahahahahahahaha umeona eeh!! Huyo jamaa sijui alitakaje kwa kweli
  10. S

    Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

    Mm hiyo elfu thelathini kwangu haipati kizembezembe hivyo kama anashida nayo kweli hata kesho yake nitamwambia aje kuchukua kwangu ila siyo nimtumie aje nimpe
  11. S

    Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

    Huyu naye katokea wap yani ngoja tusubirie ccm wakifanya mkutano tuone kama atatoa tamko tena
  12. S

    Mwenyekiti wa CCM Dr. Magufuli kukiuka agizo la Rais, kufanya mkutano Kahama

    Mtego mwengine huo lazima watao sababi hata km syo za msingi
  13. S

    Msaada kuhusu mzunguko wa hedhi

    Hii tatizo hata mchumba wangu ana miezi miwili hajaona siku zake na kila akipima mimba hana je tatizo lipo wapi wana jf
  14. S

    TCU yakanusha Uvumi

    Kwa maana hiyo kazi ya kupotosha ni kazi ya mtendaji mkuu ? Mbona hueleweki mkuu
  15. S

    Ni kwanini wanawake hawaigopi HIV?

    Hahahahahahaha we jamaaa wewe umeongea kiuhalisia kabisa
  16. S

    Condom ikipasuka wakati unataka kupizi utachomoa au utamimina tu liwalo na liwe?

    Hivi shule zimefunguliwa au bado maana duuuh kwa mtindo huu hapana kwa kweli
Back
Top Bottom