Search results

  1. M

    Wavietnam wanavyodhalilisha wafanyakazi watanzania katika kampuni ya halotel

    Raia wa vietnam anayefanya kazi halotel nchini tanzania amdhalilisha mfanyakazi wa kitanzania kwa kumuita "nyani"
  2. M

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo. Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba...
  3. M

    Minara ya Halotel yahatarisha usalama wa ndege

    Minara ya halotel iliyojengwa sehemu mbali mbali nchini inahatarisha usalama wa ndege. Kwa mujibu wa maofisa wa mamlaka ya anga waliofanya ukaguzi ilibainika minara mingi iliyoko katika mikoa mbali mbali imekiuka vigezo vya usalama wa ndege. Mfano katika eneo la uwanja wa ndege ulioko...
  4. M

    Mh Jenister Mhagama anza na jipu la halotel(vietel)

    Tunashukuru kwa hatua unazochukua dhidi ya waajiri hasa makampuni ya kigeni kutokufuata taratibu na sheria. Huku halotel kumejaa wageni wengi kutoka vietnam ambao kazi wanazofanya hata darasa la saba anaweza kuzifanya. Unakuta eti expart anasimamia uchimbaji na ufukiaji wa mkongo wa...
  5. M

    Halotel (Viettel) inavyowanyanyasa na kuwanyonya watanzania

    Kampuni hii imekodi maeneo ya minara kwa ulaghai ikitumia mgongo wa serikali huku ikivunja sheria nataratibu za mamlakamnalimbali za nchi hii. Lakini pia inawanyanyasa na kuwanyonya wafanyakazi wake kwa kuwanyima haki zao kwa mujibu wa sheria za nchi hii. Kampuni hii ilikodi maeneo ya minara kwa...
Back
Top Bottom