Search results

  1. Lagata

    Kuishi chumba kimoja na mkeo na kaka yako

    Habari wana JF, Unaishi wewe na mkeo kwenye chumba kimoja, kaka yako kutoka kijijini akaja kutafuta maisha unaishi naye humo kwenye chumba kimoja na ni mwaka sasa umepita toka aje. Tuambizane ukweli jamani ni sahihi hii? Kuna mapenzi ya kweli hapo?
Back
Top Bottom