Search results

  1. B

    Wazazi wa rafiki yangu, wanataka mke wa kwanza aoe Mkurya

    Kuna rafiki yangu ni mkurya, kaja analalama saaana ana mchumba anataka kumuoa. Sasa shida inakuja huyo binti yeye sio mkurya, sasa wazazi wa kijana wamemkomalia jamaaa atafute mchumba wa kikurya aoe maaana ni mke wa kwanza. Afu kama anataka kuoa mke wa pili ruksa kuoa kabila yeyote. Sasa mimi...
  2. B

    Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5 bila kusemeshana. Na ukizingatia mimi kwenye mapenzi nimeanza kujihusisha hivi karibuni baaada ya...
  3. B

    Ajira za uhasibu

    Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni
  4. B

    Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

    Baaada ya uteuzi wa Mwakyembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone
  5. B

    Tuwe na utamaduni wakupenda kusoma vitabu

    Watanzania tumekua wavivu sana wakusoma vitabu mbali mbali kwani vitabu huongeza maaarifa na uwezo wa kufikiri kwa kiasi kikubwa. Tuwajengee watoto watu moyo wa kupenda kusoma vitabu. Na kwa wale ambayo wangependa kuwa na misamiati mingi wakati wa kuzungumza na kujenga hoja. Njia hiyo iko very...
Back
Top Bottom