Search results

  1. Mamzalendo

    Wingi wa traffic barabarani

    habarini wapendwa..nianze kwa mfano mi natokea moshi mjini leo changbay traffic 3, kibosho road 3, mailisita 3, kimashuku 3, mnadani 3, njiapanda ya machame 5, kwa sadala 5, bomangombe 6, kia 6, kingori 3, kikatiti 5, maji ya chai 3, usa 6, tengeru, 3 nduruma 15, ukishapanda tu mlima kabla ya...
  2. Mamzalendo

    Jengo la NSSF Moshi

    Habari wakuu leo nina tafakari kidogo nimeambiwa jengo linalojengwa opposite na manispaa ya moshi ni la nssf na linaenda ghorofa kumi na ni commercial complex,nimeliona lakini najiuliza litalipa na kama litalipa kwa kiasi gani?kama majengo tu ya kawaida ni vigumu kufanya renovation je litalipa...
  3. Mamzalendo

    Mume na mke kulala chumba kimoja na kitanda kimoja,

    Habarini wapendwa natumai wazima ndo tunaanza wikiend,sasa leo nlikuwa nataka tujadili kwa pamoja faida na hasira za mume na mke kulala kitanda kimoja na chumba kimoja,kwa uchunguzi wangu mdogo zamani haikuwa hivi mume alienda kwenye boma la mke alipomhitaji je huu utamaduni umetoka wapi?na pia...
  4. Mamzalendo

    Kutofautiana katika siasa

    Habari zenu ndugu wanajf! Mimi leo nina mawili matatu ninayofikiri ni muhimu 1.Kuwa vyama tofauti haimaanishi uadui na kwamba kila anachosema mpinzani wako ni upuuzi, ujinga na kukuonea. Ni vizuri tukijenga misingi ya kutofautiana katika points muhimu. Mfano wapo watu humu jf...
  5. Mamzalendo

    A poor beauty is likely to find more lovers than a husband

    How true is this give it some percent?and there this other one the road to hell is lined up with good intentions,kindly comment and take note that the second proverb doesnt become a reality in your life,
  6. Mamzalendo

    Waasi wanapatikanaje?

    Ndugu zangu nimekaa sana nikawaza yote haya natafakari tu eti waasi kama wa libya na kwingine wanatengenezwa au wanatokeaje? au ni watu wa aina gani au ni kina nani?na je hili huwa ni jambo la ghafula au kukurupuka? na je ni muda gani unahitajika kuwapata? na je Serikali ya Tanzania inaweza kuwa...
  7. Mamzalendo

    Dar Vs Arusha

    Kama ungetakiwa kuchagua leo ungeishi wapi kati ya hizi sehemu mbili,na je ni kweli maisha arusha ni ghali kuliko dar,whats the future of arusha vs future of dar?
  8. Mamzalendo

    Maana ya Income tax ya gari,

    Jamani wandugu naombeni msaada kama nina gari yangu aina ya pick up na ikoregistered kama private kwa nini nilipe income tax wakati si ya biashara,coz kuna meneja wa tra ameniambia eti kama nisingekuwa na hiyo pick up si ningekodi gari kwa hiyo tugawane huu hi ni nini kwa hyo wote wenye magari...
  9. Mamzalendo

    Tuelimishane juu ya kazi zetu mbalimbali

    Nimeona katika jamii yetu watu wengi wanatapeliwa kwa kutokujua nani anafanya ni nini,ningeomba kila mtu aelezee japo kwa ufupi proffesion yake,for example im a teacher my work is teaching primary school pupils,can we hear from lawyers,doctors,civil engineers,electrical...
  10. Mamzalendo

    Cement kutoka 13500 hadi 14500

    Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya...
  11. Mamzalendo

    Paka wangu analea mtoto wa panya.

    Juzi kaka anayetusaidia kazi alikamata panya watatu mmoja mkubwa, wawili wadogo lakini mkubwa na mdogo mmoja akawaua akampa paka wangu ambaye naye amezaa watoto watatu akawala wale waliokufa. akamtupia paka wangu katoto kamoja ka panya kaliko hai huwezi amini alikachukua hadi kwenye box walipo...
  12. Mamzalendo

    Kwanini kila kitu serikali ndio ilaumiwe?

    Ndugu zangu nafikiri kuna kulaumu serikali kulikozidi,wananchi pia tuna wajibu wa kutenda na kuisaidia serikali,mfano katika suala la umeme je wahandisi umeme wa nchi nzima wakijitolea kutafuta suluhu ya hili jambo hata kama ni njia nyingine mbadala kweli hatutapata majibu kwani lazima wazungu...
  13. Mamzalendo

    Sifa na tabia za wameru

    Ndugu zangu naomba mniambie sifa au tabia za wameru kila mmoja kwa nafasi yake na mtazamo wake. nauliza kwa sababu nimemsikia mtu akisema yeye hawezi kukaa na wameru hata sekunde akaulizwa na mbinguni je ukiwakuta utafanyaje akasema nitatoka. nilipotaka kudadisi nijue undani akawa ameshaondoka...
  14. Mamzalendo

    Jamani kwani ni lazima!

    Jamani kwani ni lazima mtu ukifanya harusi utoe kadi za michango kwanini mtu usifanye harusi unayomudu badala ya kusumbua watu na mikadi ya michango! tena kibaya zaidi eti mtu anakuwekea kiwango eti kiwango cha chini laki moja hivi hii kwanza ya kumuwekea mtu limit inatoka wapi? kwa sababu...
  15. Mamzalendo

    Nchi haiwezi kuendelea kwa staili hii

    Jamani ndugu zangu kwa nini tunategemea nchi iendelee kwa staili hii, mimi mwaka jana niliomba kufungiwa maji kwenye plot yangu mwezi wa tisa mpaka sasa hamna kitu na nimelipia kila kitu nikifuatilia napigwa tarehe tu, januari wakaniambia chimba mtaro nimechimba mpaka sasa mtaro umeziba...
  16. Mamzalendo

    You should know this: The 48 Laws of Power

    it's my advise that all great thinkers in jamii forums should read this book because it has some useful laws that will help you understand different people in this life. The book: The 48 Laws of Power. here are some of the laws try think of them and to understand them 1. Despise free...
  17. Mamzalendo

    Best Woman wins by Dolly Parton

    I love this song because I think its very wrong when ur fellow lady takes ur man n u simply say he was not meant for me and if he is mine he wil be back,its good to fight for what you believe belongs to you,because what if its just a trial for ur relationship? This is my concept can someone...
  18. Mamzalendo

    Who is hindering your growth?

    there is only one person who is capable to set limits to your growth IT IS YOU. your life changes when YOU change i am not happy with the current government but there is also something that i have realised, each of one of us is responsible for making a change in this nation regardless of...
Back
Top Bottom