Search results

  1. Mamzalendo

    Uwekezaji wa Bond Vs Biashara za kawaida

    Sasa utakuwa unaomba wanao hela kila siku ndugu ukiweka sehemu ya pension yako ukawa unakula faida pole pole kuna ubaya kwani???
  2. Mamzalendo

    Stay single until you’ve met someone who has experienced these 9 things in life

    Nimemsoma nikaelewa ila sasa comments zinanivuruga...but ahsante sana, ni muongozo mzuri
  3. Mamzalendo

    What is the brutal truth about life?

    You are right its indeed the brutal truth about lfe
  4. Mamzalendo

    If you recognize these 8 signs, you’ve finally found your purpose in life

    Thank you for sharing, i wlll keep re reading until i get there...remain Blessed
  5. Mamzalendo

    Special thread: Missing someone with special memories in your life

    you wrote with a lot of love, i pray he is still alive to come back to you..
  6. Mamzalendo

    Mama kanitukana nichukue hatua gani?

    😀😀😀😀😀😀😀 Ukitoka kwa wajomba utuambie...au ukipigiwa simu na huyo binti tushirikishe yaliyojiri
  7. Mamzalendo

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Ila hii dunia haiko fair kabisa kila saa single mama single mama kwa nini tusiweke mada kudiscuss wababa wa hao watoto wa single mama, au walijizalisha jamani???
  8. Mamzalendo

    Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

    Inatia moyo kwa kweli, ubarikiwe, na ufanikiwe zaidi
  9. Mamzalendo

    Uwekezaji wa Bond Vs Biashara za kawaida

    Ngoja niendelee kusoma comments kujifunza, ila bond kwa wastaafu nadhani ni kitu chema
  10. Mamzalendo

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Mungu atuzidishie neema yake mpaka mwisho
  11. Mamzalendo

    Msaada: Hospitali yenye daktari wa wanawake mkoa Kilimanjaro, Moshi

    Hope clinic opposite na stanbic bank kwenye jengo la ywca, wapo madoctor wazuri sana
  12. Mamzalendo

    Taifa la ajabu lenye hospitali ya ajabu

    Very sad, vaeni ujasiri mchukueni mumpeleke hospitali nyingine whether wanataka au hawataki msimletee madhara zaidi mgonjwa
  13. Mamzalendo

    Ratiba ya Mtanzania msomi kwa siku ya kufanya kazi

    Kwa kweli kuna haja ya kila mtanzania kujitizama upya haswa kwenye utendaji wa kazi la sivyo hata rais aje wa aina gani haitasaidia mi nina mfano kuna sehemu bomba la maji linavuja miaka watu wa idara ya maji wanakuja hapo kila mara lakini hawalirekebishi wapo tu wanaangalia je wanahitaji rais...
  14. Mamzalendo

    Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

    Na kweli ndugu na kama arusha watakuwa wanakaribia miezi mitatu sasa duh bora wawaze tena upya,
  15. Mamzalendo

    Wanawake wanaoshindwa mambo haya ndoa hamna

    Hayo mawili sawa kwenye kuvumilia inategemea kuvumilia nini??sasa unipige nikuvumilie ili iweje?uwe malaya nikuvumilie ili uniletee magonjwa au??
  16. Mamzalendo

    Kubeba nauli kamili nayo ni shida

    Ha ha ha ha ha ha ha I love this drama
  17. Mamzalendo

    Mtoto wa kike soma usomavyo lakini CV ya mwisho kiuno

    Duuuh huku ni kutafuta watu maneno kabisaaaaa, this includes your mum n your sister n your daughter
  18. Mamzalendo

    Magari kutoka Ngarenanyuki kwenda Arusha yazuiwa kupita King'ori

    Ha ha ha ha ha ha wameru bwana kila mmoja mbabe, haya sasa ngoja tuone
  19. Mamzalendo

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa ndo mpango mzima
Back
Top Bottom