Search results

  1. mikatabafeki

    Nassari: Mikutano na maandamano makubwa kuanza September 1 Arumeru

    Baada ya mahakama kufutilia mbali kesi iliyokuwa inamkabili mbunge huyo Bw. Joshua Nassari, ameongea na vyombo vya habari na kusema kuwa maandamano makubwa yakiambatana na mikutano ya kisiasa itaanza tar 1 Septemba katika jimbo lake ikiwahusisha viongozi wote na wafuasi wa chama chake. Chanzo...
  2. mikatabafeki

    Dk. Benson Bana ashauri CCM wasimpe Magufuli uenyekiti wa chama

    Huyu kanjanja ni mnafiki wa kiwango cha upolofesa
  3. mikatabafeki

    Namuunga mkono Naibuu Spikaa, yupo sahihi 100%

    Kwa kitendo alichokifanya leo bungeni personally naona yupo sahihi, Hii ni kutoana na kwamba hana uchungu na wananchi wa Tanzania, Sababu kuu ni kwamba hatujampigia kura kyuingia bungenii, wala hatuhusu wananchi, Ndo mana leo hii hadi wabunge wa cham chake wameamua kumgeuka. Je anafanya...
  4. mikatabafeki

    AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

    Wasalaam, Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda, Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI...
  5. mikatabafeki

    Waziri wa mambo ya nje adai Serikali imesikitishwa na maamuzi ya MCC

    Waziri wa mambo ya nje mh. Mahiga amesema serikali imesikitishwa na kusitishwa kwa mgao wa fedha za MCC kwani itaathiri sana suala la nishati hususani umeme vijijini. Akaongeza kwamba haya ni matokeo ya nchi kuwa tegemezi. Chanzo: ITV habari saa mbili usiku, tar 29.03.2016
  6. mikatabafeki

    Maalim Sef na Bw. Karumee

    Nimeona taarifa ya habari jioni hii itvv ikimuonyesha maalim sef akizungumzia hali ya kisiasa zenji na kuwasihi wananchi wawe na subira huku akieleza kuwa suala hilo lipo chini ya katiba na wao wananchi. Kilichonifanya nilete uzi huu ni ukaribu wa maalim na Karumee wakiwa bega kwa bega na mzee...
  7. mikatabafeki

    Kipindi maalum cha Lowassa na Uchaguzi ITV (01 Jan, 2016)

    Ki ukweli sijaelewa mantiki ya kipindi hiki kwani kimelenga kuzungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kwa Lowasa hadi kupiga kura na matokeo. My take: Nazikubali busara za lowasa ila kwasasa ningemshauri atulie tu.
  8. mikatabafeki

    Ukweli mchungu: Kwa hili, Mbowe anaiua CHADEMA

    Nianze kwa kusema tu mimi sio mwanachama wa chama chochote, Ila tu ni mpenda mabadiliko ya kweli na ya dhati ndani ya nchi yetu pendwa Tanzania Nikiri kwamba Mbowee kakifikisha chama mbali na sasa anakiua kwa mbaaali, Mfano ni teuzi ya viti maalum hadi kwa madiwani iemeleta mushkeri sana, Mana...
  9. mikatabafeki

    Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

    Lile sakata la ununuzi wa mabehewa mabovu sasa limefika pahala pake ambapo katibu mkuu wizara ya uchukuzi ndugu. Shaban Mwinjaka kuagiza wahusika wote wafikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo kwa upotevu huo wa rasilimali za umma. Chanzo: Azam News My take: Je, yule waziri husika anakwepa hili?
  10. mikatabafeki

    Tuwe makini na Sheria mpya ya mitandao na Mod wa JF

    Mod najua na uzi huu mtaufuta, Lakini niwaambie tu kwa kifupi kuwa tuwe makini na sheria mpya ya makosa ya kimtandao na mod wa JF, Hii ni kutokana na kwamba kamchezo ka ku edit thread ya watu bila makubaliano na mhusika ni mbaya hususani kipindi hiki ambacho sheria ya makosa ya kimtandao inaanza...
  11. mikatabafeki

    Hivi ni kweli Tume ya Uchaguzi itatenda haki?

    Wanajamvi naomba nitoe maoni yangu kwa ufupi kwenye thread yangu hii ya mwisho ndani ya JF kama ifuatavyo: Najiuliza maswali mengi kila kukicha kuwa hivi ni kweli tume ya uchaguzi itatenda haki? Hii ni kutokana na kwamba tume ya uchaguzi si huru, mana viongozi wake wamechaguliwa na kiongozi wa...
  12. mikatabafeki

    Mabadiliko ndani ya CCM hayawezekani kutokana na mambo haya

    ​Nahodha mpya ndani ya meli ile ile iliyotoboka
  13. mikatabafeki

    M/Kiti wa CCM Mkoa wa Iringa apigwa stop kushiriki siasa kwa muda wa miezi 12

    wadau habari za mchana huu, Kuna habari zisizo rasmi kwamba Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Irnga Bi. Jesca Mutavangu amepigwa stop kushiriki masuala ya siasa kwa muda wa miezi kumi na miwili??? Mwenye habari kamili atujuze tafadhali. Kwa ninachofahamu pale Iringa: Jesca alikuwa anataka kugomba...
  14. mikatabafeki

    Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

    Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my kids. Mana kuna rafiki yangu yupo humu ndo akanishawishi nijiunge humu ntampata tu. Me ni mwanamke...
  15. mikatabafeki

    wana JF Tanga nipokeeni

    habari za jioni wana jf,poleni na mishughuliko na pilika pilika za hapa na pale za kutaka kujikwamua kiuchumi huku wakubwa wakiwa bado wamekaba hadi penalty.Kwa wana jf waliopo tanga wote naomba mnipokeeni na kunionesha maeneo jiji hili mana serikali imeamua nije niwahudumie watanzania waishio...
  16. mikatabafeki

    Natamani haya yatokee kwenye nchi yetu

    natamani sukari kilo 1 iwe 100,000 unga kilo 1 - 50,000 chumvi kilo 1 - 80,000 mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000 bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @ na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
  17. mikatabafeki

    Elections 2010 TBC1 waupa mgongo uchaguzi wa Igunga

    nimekua nikifuatilia uchaguzi wa Igunga kwenye televisheni mbalimbali toka asubuhi lakini cha kushangaza ile tunayoifahamu kama televisheni ya Taifa ndo kwaanza haitoi hata updates ya kinachoendela huko je matokeo ya vituo mbalimbali yanayotangazwa ndo yanawakatisha tamaa kutangaza habari za...
  18. mikatabafeki

    OMG: huu ni ukatili ulioje

    huyu jamaa sijui ni wa namna gani aiseeeeeeehhhh..................bila hata hurumma jamani
  19. mikatabafeki

    Mayweather KOs Ortiz for WBC welter belt

    LAS VEGAS (AP)—In just one round, Floyd Mayweather Jr. got a head butt, a kiss and a hug from Victor Ortiz. He responded with a right hand that ended a bizarre fight early. The end came just as the two fighters emerged from a break, in which Ortiz had embraced Mayweather in the center of the...
  20. mikatabafeki

    mliopitia boarding hii haikua form one ila bomu 1

    nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah
Back
Top Bottom