Siku nyingi sana nimekuwa msomaji wa michango ya watu, ila leo wacha niseme,
Deo, unahitaji msaada wa haraka sana wa matibabu ya akili,
Ukichelewa tu basi utaokota makopo sio kuda.
Mkuu The Bold Mungu anakuona, please imalizie kabisa hii story tuanze na nyingine,
Mamake utadhani naangalia muvi, ila Baba Bite ni mmoja wa The Board,
Nadhani dhumuni la kumuua waziri ili wakamilishe mambo yao kiurahisi
Mkuu hapo kwenye movie sishauri, sio kwa waigizaji hawa wa bongo muvi,
Ila mkuu Ze Bold hili ni ombi nakuomba utupie walau mara 2 kwa wiki ni utatuuua
Mamake sio kwa mtiririko huu aseeh, manina umepangilia matukio nikajihisi naagalia movie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.