Search results

  1. K

    Rais Magufuli ameahirisha maadhimisho ya siku ya Uhuru 2018, ataka fedha zilizotengwa zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma

    Uhuru gani ambao haupo. Uhuru usingekuwepo ungepata hata forum ya kiandika haya?
  2. K

    Rais Magufuli ameahirisha maadhimisho ya siku ya Uhuru 2018, ataka fedha zilizotengwa zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma

    Huyu ndiye JPM baba haijawahi tokea duniani rais anayeipenda nchi yake kama jembe letu. Amekuja wakati muafaka wakati nchi ilikuwa imehamia mfukoni mwa mafisadi. Sasa hivi ni maendekeo kwa kwenda mbele. Mabeberu wataendelea kutuletea hela zao na tunazitumia kwenye mambo ya maendeleo. Viva JPM
  3. K

    Kuhusu confirmation code kutoka TCU

    Hayo ndio madhara ya kutokujiamini. Chagueni chuo kimoja muachane na hizo adha!
  4. K

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Acha ubashiri uchwara kijana,piga kazi,achana na walioshindwa
  5. K

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    muwe mnaomba chuo kimoja jamani. Hamjiamini? yote hayo mwayataka wenyewe
  6. K

    naskia kuna wadu mmeenda ofisi TCU

    Watu muache kubet kwenye jambo la elimu.
  7. K

    naskia kuna wadu mmeenda ofisi TCU

    Kwa nini mtu aombe vyuo zaidi ya kimoja? hamjiamini?
  8. K

    TCU ni jipu

    TCU inafanya kazi nzuri sana. Nawashangaa hawa vijana waliobalehe juzi wanakuja na tuhuma za kipuuzi puuzi tu.
  9. K

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Hiki kipigo wanachopata ni cha mbwa koko kabisa!
  10. K

    Kamati ya Dr. Bashiru vs Kamati ya Spika gesi asilia ngoma inogile

    Ccm mpya inanikosha. Mafisadi watahama nchi kama enzi za mwalimu
  11. K

    ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Watawasimulia wake zao kuwa Jpm si wa masihara. Hawatarudia tena
  12. K

    Rais Magufuli: Mimi ni Rais kweli kweli, jiwe. Sitishwi wala sitishiki; azindua kiwanda cha Alizeti mkoani Singida

    Waacheni waandamane watawasimulia wake zao Magufuli ni nani! Hizi siyo zama za kicheka na mjusi.
  13. K

    Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Mohamed Said yupo vizuri, hapepesi macho. Ni msomi na mwenye kuujua uislam. Ana busara ya hali ya juu sana. Amesema vyema sana katika mjadala huo. Mtu analalamikiwa kwa kuwabinya waislam halafu anapandishwa cheo ili awabinye vizuri wailam. Uislam ni dini ya amani ljn si dini ya kuonewa kama...
  14. K

    Wanafunzi wa vyuo vikuu, ikifika Ijumaa mwenzenu NONDO hajapatikana gomeni

    Eti Gomeni! Huku kameshika pua! Unadhani sserikali ya nyumbani kwako
  15. K

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Nimesoma naona ni uharo tu umeandikwa. Utadhani aliyeandika hajapita kidato cha kwanza
  16. K

    Je, ni kweli alichosema Humphrey Polepole kuhusu vijana kupatiwa elimu ya ufundi stadi bure?

    Chama chenye agenda zilizonyooka. Wengine ni kulalama tu, mara kuna watu wamelpigwa risasi hawajatibiwa, mara msajili ana agenda ya kukifuta chama! Akikifuta chama kile itakuwa swaaafi kabisa
  17. K

    Mwanza: Rais Magufuli azuia kaya 1,900 kuondolewa uwanja wa ndege

    Anawathamini wapiga kura wake. Wasingekuwa wao asingekuwa rais
  18. K

    Mwanza: Rais Magufuli azuia kaya 1,900 kuondolewa uwanja wa ndege

    Maneno ya kwenye kanga hayo
Back
Top Bottom