Search results

  1. NYINGWA

    Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

    Wanadhani leo utajua kuwa hatutaniani
  2. NYINGWA

    Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

    Kumbuka mashinji ndiye mtendaji Mkuu wa shughuli za kila siku za chama
  3. NYINGWA

    Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

    Mhhh!! Ngoja waje wenye chadema yao
  4. NYINGWA

    Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

    Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com bofya link kupiga kura
  5. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Ndo basi tena yawezekana naye rungu likampata. Mi ntafurahi
  6. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Chama cha mapinduzi ccm. Bora tungechagua jiwe
  7. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Brother, mimi ninayeandika haya, nimesoma hapo na nimemaliza darasa la saba 1992. Ni shule kweli na kipindi hicho mwalimu mkuu aliitwa Merkiory A.K.A Kibuyu.
  8. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Mnamuonaga huko mjini? Mwambieni tabu zetu ndizo hizo.
  9. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Hapana tulijichanganya baada ya kuambiwa kwamba atakuwa waziri mkuu. Katoka ikulu
  10. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Weeee! Kwani naye yumo?
  11. NYINGWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Duh! Mkuu Tawa alipita wikiendi iliyopita anaenda kwao kula bata. Tumvumile tu amalize kula ndo ataonge. Kwa Afrika siyo vyema kula huku unaongea mkuu.
  12. NYINGWA

    Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

    Dah! Kuna henia ambayo husababisha mtu kutojisikia kufanya tendo la ndoa na maumivu katika kiuno na viungo vingine?
  13. NYINGWA

    Nchi haina wazee wanaoshauri?

    Huyu si ndo mmesema anamshauri vibaya Sizonje nyie!
  14. NYINGWA

    Kesi ya 'mpemba' imefikia wapi?

    Watanzania tuna shida moja tu, yani pale mtu ametumbuliwa tunafurahi kweli kweli lakini hatuna haja ya kufahamu mwendelezo wake baada ya hapo
  15. NYINGWA

    Nini mita 200!, kuna akina mama wanatembea kilomita kumi kila siku kutafuta maji

    Kuna watu huwa mnafikiri vizuri sana. Mi nilishangaa leo kutwa nzima ni habari za mtu kutembea kwa miguu. Tubadilike jamani tukitaka tutoke hapa tulipo
  16. NYINGWA

    Usikose kuangalia Funguka Jumapili Azam Two:Edward Lowassa

    Hiyo mioyo ya wafu umesema wewe
  17. NYINGWA

    Usikose kuangalia Funguka Jumapili Azam Two:Edward Lowassa

    Hukutumwa, sisi tutamsikiliza
  18. NYINGWA

    Usikose kuangalia Funguka Jumapili Azam Two:Edward Lowassa

    Tunamsubiri kwa hamu huyu rais wa mioyo ya watu
  19. NYINGWA

    Sitashangaa kusikia Msajili wa vyama vya siasa siku moja kawa waziri.

    Gamba kazini. Haya ita wenzako wa lumumba na uwaambie msemaj wenu anasemwa
Back
Top Bottom