Search results

  1. T

    INAUZWA Kitanda cha mninga-140,000/=

    Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu Size= 5 * 6 Ni cha mbao (Mninga) Sababu za kuuza= Shida za dunia Bei 140,000/= Negotiable Location; Mbezi Africana Contacts; 0767819499
  2. T

    Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Wakuu simu niliyotaja hapo juu naiuza, simu nimeitumia wiki moja tu toka nimenunua Dukani. Bado mpya, haijawahi kuanguka Wala kuchubuka, ina Rangi nyeusi. Nitakupa charger original na hear phones Zake zikiwa kwenye box lake. Napatikana mwenge. 0745657885
  3. T

    Rais JP Magufuli, Mulika na Shirika la Bima la Taifa( NIC)

    Hiki ni kichaka kingine cha wezi wa pesa za Umma! Yaani mtu unazungushwa kama unafuatilia mali ya urithi vile, vocha nimesainishwa ila hundi hawatoi na wakati pesa ilishaletwa siku nyingi.. Toka mwezi wa saba mpaka leo tunaelekea mwezi december naishiwa kuambiwa sijui nenda TIRA mara sijui kwa...
Back
Top Bottom